Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

i cant wait hii kitu asee Jack is back ,.chloe is back ,.. tetesi Tony Almeida ndani ..si mchezo
1 Reactions
9 Replies
2K Views
mambo vip wadau wa jf kama kichwa cha thread kinavyojieleza nahitaji msaada wapi nitaipata nyimbo ya mirro inayoitwa nibembeleze my boo,mashairi yake inasema nibembeleze kwenye beat ya mazuu jina...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Sikiliza huu wimbo wa Dr Remmy, kuna meseji ya ukweli kabisa kwa maisha ya sa hivi, unakuta mtu umekaa muda mrefu mbali na nyumbani halafu wanataka urudi utarudi vipi mikono tupu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
If you were to marry one of this queens-Nancy, Jokate and Richa; who is the best among them,why? PM
0 Reactions
17 Replies
3K Views
IMEKUWA nikiandika uchambuzi wa maoni juu ya waimbaji wa muziki wa Injili, ambapo pamoja na kazi nzuri wanayoifanya ya kufikisha ujumbe wa Neno la Mungu kwa njia ya kuburudisha, baadhi yao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Come and join the FUN!! ↓ →UHURU WALK & TREASURE HUNT 2014. Febuary 2nd • 7A.M • 6.5KM Giving orphans a chance for better tomorrow!! Take a step forward & contribute from Tsh 5,000/-...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Natafuta chuo chochote nchini Kenya au south Africa kinachofundisha acting,directing and script writing kwa bei nafuu,nataka nilete mabadiliko kwenye tasnia ya filamu nchini...shukrani
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Jamani hii movie YA FIFTY SHADES OF GREY inatoka lini? cant wait
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa Hip Pop jina hili sio la kuuliza na wale wanaofuatilia kwa ukaribu zaidi watakuwa wanakumbuka mazingira yaliyozunguka mauti yake. Zimekuwepo fununu nyingi na uzushi lakini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JUSTIN Bieber has been arrested in Miami Beach for drag racing and driving under the influence, police told local media. NBC Miami said Bieber was in a rented Lamborghini but...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
[Ukombozi Africa – Urafiki Jazz Band] Mwenyekitiiiiiii, Wa nchi tano zilizo mstari wa mbeleeee, Tunakuomba, Uzidishe mapambano ya kusini, Mwa Afrika, Kwani maadui , wa Afrikaaaaaaaaaa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Jamani kati ya mwanamuziki diamond platnumz na chamelion nani unamkubali zaidi??toa maoni yako tafadhali
0 Reactions
23 Replies
5K Views
naomba kupatiwa source yoyote ntakayoweza kupata nyimbo ya wazee wa ngwasuma- inayoitwa wale wale
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Anaitwa Rod Temperton. Pamoja na Michael Jackson kutoa Album yake iliyokuwa sokoni zaidi ya mwaka mzima, ni wimbo wa huyu jamaa ulikuja kubadilisha POP na MJ akawa King wa Pop duniani. Wengine...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara amemteua Mheshimiwa Pindi Chana kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Filamu na Michezo ya kuigiza katika kipindi cha miaka mitatu ijayo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu wapi naweza kuipata DVD ya hiyo movie kwa maeneo ya Morogoro au Dar es salaam? Mwenye kufahamu please....hiyo movie mara ya mwisho kuiona ilikuwa mwaka 2001.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Futuhi ya startv nimetokea kukipenda sana hiki kipindi kinafundisha, kinaburudisha sana. Tofauti na vipindi vingine ambavyo wao huburudisha tu ni kingine hufuata maadili ya kitanzania kuanzia...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
MWANAJF; Fuata hii link na ubarikiwe na wimbo huu wenye ujumbe mkuu sana katika maisha ya mwanadamu wa leo. Kila la kheri. Njia ya kalvari (Kurasini SDA choir) - YouTube
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Unamkumbuka msanii aliyetamka hivyo ktk wimbo wake? Huyu ni O-ten kijana aliyekuwa na bifu kali na Afande Sele. Jamaa kaishiaga wapi? Hizi ni kauli kali zisizojenga ktk maisha! Kama ulikuwepo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
STAILI, vionjo na mfumo mzima wa muziki umekuwa ukibadilika kila siku kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo hali ya kwenda na wakati. Mabadiliko haya kwa upande mwingine yamekuwa sababu...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…