Mustapha Ryder
Member
- Dec 19, 2013
- 76
- 12
share na washikaji filamu ya kibongo unayohisi ilikua kali kwako mwaka 2013
Filamu ya ngono
ungeuliza hivi.... 'ni kasha la muvi gani ya kibongo lilikuwa mauzo?'..........hapo ningekujibu!
Duh kwaio wanapatiaga makasha tu?