Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Huyu jamaa ni mkenya na katumia beat ya deuces,kila mstari akiimba anamalizia na "raaa!".Kwa yule anayejua jina la msanii na la wimbo naomba msaada please.
0 Reactions
1 Replies
986 Views
'80s Movies Forever: 20 Remakes in the Works .'About Last Night,' 'Robocop,' 'Endless Love' (Screengems/Columbia/Universal) Did you notice that three of this week's major releases —...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Mi naanza na 1. Super hero 2. friends with benefit 3. rango 4. Johnny English
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanzoni mwa mwaka huu Mkuu wa wilaya ya Ngara Bw Costantine Kanyasu alialikwa kuwa Mgeni rasmi katika shindano la Miss Ngara Katika shindano hilo mshindi aliahidiwa kupewa vifaa vya Salon ya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Anayefahamu aliyeimba wimbo ulioko kwenye movie ya passion of the soul ya Ghana anisaidie.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habari za asubuhi... Sisi sote si wageni tunamjua vema sana mtajwa hapo juu. Utumishi wake tangu akiwa RTD sisi wakongwe twaijua vema sana.. kwakweli mzee huyu amekuwa ni hadhina kubwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wapenda burudani wenzangu,, naomba kuuliza hi tamthilia inaonyeshwa channel gani kwa sasa, au naweza kuipata wapi, ilikuwa inaonyeshwa miaka ya 98 ctn, it was nice
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kenya's First Openly Gay Drag Queen Takes Shots At The Fake Gays Thursday, 13 February 2014 11:05 , Written by Sue Watiri (Writer)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiswahili kimevuka boda tena kwaa saaana. Hollywood wanatumia kiswahili kwenye movies zao tena kwa ufasaha. Kuna seriez inaitwa “intelligence eps 5“ Neno “ hakuna matata“ Limetumiwa. Pia kuna...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
BETTER MAN Ni story ya kweli iliyotoe Dec 2005 huko Singapore kunyongwa kwa Nguyen baada ya kukutwa na sembe,mpaka kanyongwa hadi kufa akimwacha pacha wake na mama ake, INAHUZUNISHA sana Better...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimejitahiid kutune station zote toka SAA tano asubuh hadi sasa naona unaz cjaona hata kipind cha maana cjui ni mchana tuu mbona usku kdogo afadhal arrrgghh ngoja nizime nijliwaze na Jf ...maana...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
hivi jamani ninaomba kuuliza umri wa huyu mtu ili 2tatue ugomvi hapa nyumbani kuhusu umri wake
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kenya’s First Sex Movie Finally makes it to IMAX You can now watch House of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
John depp ni noumaa aisee uyu m2 napenda mambo yake ya kichiz yan kama ktk muvi ya pirates of carribean kama sparrow ila nmemkubal zaid ktk behind the scene ktk muv ya rango.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau mimi binafsi napenda sana nyimbo hizi: ukimwona by Diamond kuchapiwa siri ya ndan by Ommy D.. Naomba kujua ni wapi naweza download beat za nyimbo hizi?
0 Reactions
3 Replies
5K Views
WADAU, Kuna hii ngoma uwa inapigwa sana kwenye maeneo ya starehe inaenda na radha ya kukata mauno...yani ndio uibwa hivyo...kiuno kiuno...nimetry kuicheck youtube sijapata matokeo...so nadhani...
0 Reactions
1 Replies
994 Views
Inaudhi sana kuona wasanii wengi siku hizi wameanza mtindo wa kuiga dialect (lahaja) ya kinaijeria katika uandishi wao... mf. "I no de lie", "u go make me crazy" sasa hii maana yake nini? Kwani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawatakia jumapili njema wadau wote wa JF, Mnaoenda kanisani na tunaobaki home wote tuwe na siku njema. Leo nimeona nishee na nyinyi huu wimbo wa kikundi cha Pentatonix royals, mbarikiwe wotee...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Terms and Conditions Apply ni documentary inayoonyesha jinsi mashirika makubwa ya usalama jinsi yanavyotumia internet na simu, mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter, Google na nyinginezo...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Moja kati ya michezo itakayoacha tabasam kwenye sura yako ni kama ilivoelezwa kwenye link hii bit.ly/1iy9g7c
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…