Nyimbo ya diamond na yule dada mnaijeria

Nyimbo ya diamond na yule dada mnaijeria

ndugufred

Senior Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
137
Reaction score
44
Nauliza ile nyimbo inatoka lini,nliona clip tu wakat wanaingiza vocals nikaipenda ss naona muda unaenda tu nyimbo haitoki.Kwa anayejua inatoka lini anambie nna hamu nayo sana.
 
Huyo dada anaitwa Waje...na ni bonge la song...Diamond yuko level ingine now
 
Mi mwenyewe nlijua siku ile ile kuwa litakuwa bonge ya songi ila sasa naitafuta siipati sijui wanaiachia lini..
 
dah! mi wa zaman ile mbaya manake hizi news ni mupya kwangu! all the best Diamond!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom