Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,851
Katika kile kipindi cha BANGO kinachorushwa na TBC ambacho kinahusu kuwakumbuka watu waliofariki kuna wimbo
huwa unaambatana na tukio hilo la kuwakumbuka wanzetu waliokwisha aga dunia, huu wimbo ukiusikiliza unafikirisha sana na wakati mwingine unaweza kulia machozi, naomba anayejua jina la wimbo huo anisaidie jina ili niutafute katika mtandao.