Producer Lamar Kuleta Mapinduzi Mapya ya muziki Bongo

Producer Lamar Kuleta Mapinduzi Mapya ya muziki Bongo

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,221
Reaction score
4,693
Kwa muda mrefu tumekuwa tukisikia aina moja ya muziki hapa Bongo

Leo Producer Lamar kaintroduce aina mpya ya muziki hapa bongo, kaleta kitu wanachofanya kina David Gueita, ni muziki wa kupigwa kwenye club zaidi haswa za Ulaya.

Wadau wa muziki wa kibongo mnaionaje hii kitu,

Kitabadili upepo wa muziki wetu?

Kitaleta mapinduzi mapya kama walivyowahi kufanya Kameta na Takeu,Dunga na Kapuka?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom