Mimi nimpenzi wa nyimbo za kizazi kipya ila napata shida sana kila kitu Diamond kweli jamani wana jf nikweli hakuna waimbaji wakali ila diamond?
Tuseme ukweli some body there anauwa vipaji vizuri vya vijana wa mziki wa kizazi kipya sii kweli diamond anawashinda watu wengine ila ikumbukwe wapo waimbaji wazuri sana kuliko diamond nawanawekwa bench kisa hawana kitu tunaitaji chombo chakudhibiti hii hali rushwa ktk soko la mziki, akitoa gari diamond, akifanya hiki diamond inamaana wanamziki wengine kwa sababu hawajawapa wazazi magari hawawapendi wazazi wao?
Huu ni unafiki na ujinga ktk soko la Mziki