Wadau habarini za jioni' mm nina mzuka sana na Music, napenda sana kupiga drumz, Guitar na kinanda.
Lakini katika vyote' nachoweza kidogo ni drumz tu. Sasa nataka nijifunze kupiga kinanda na Guitar' na kwa kuanza tuu nimenunua zile guita wanaziita galax tone sijui. Naomba kwa anaefahamu namna ya kupiga Guitar anipe japo darasa kidogo.
Asanteni wadau.