Nimegundua matamasha mengi ya burudani ambayo hufanyika mikoa mbali mbali ya Tanzania hayafanyiki Arusha, kwa mfano fiesta, kili music, nyama choma etc Je wadau wa Arusha ni kwa nini?
Si kweli, umejibu kishabiki mavi, kiuhalisia mji wa Arusha haujakaa ki intateiment kivile, arusha fani yoyote ya sanaa hailipi.
Arusha na umashuhuri wake hakuna hata kituo cha TV, vituo vya redio vyenyewe vipo hoi, sina uhakika kuwa kuna gazeti la kila siku litokalo arusha,
Ni bendi gani ya dansi iliyo Arusha isha wahi kupaa kivile? ni mwanamuziki gani wa muziki wa kizazi kipya ashawahi ku paa kivile standing from Arusha bila kwanda Dar? Ni artist gani wa movie au kikundi ashawahi au washa wahi kutoka kivile standing From Arusha? Kwenye sports ndo balaaaa.
Nitajie any celeb kwenye tasnia yeyote ambae anasomeka kinchi ambae ana stand from Arusha.
Arusha imeacha kutoa vibali vyote vinavyohusisha mikusanyiko ya watu..ikiwemo kidini..kisiasa nakiburudani kwa sababu za kiusalama alishawahi kusema mkuu wa mkoa kuhusu hili..mpaka amani ya mji irudi ndo tutaona tena hizi pilikapilika za burudan nk
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.