Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nchi zinazojitambua zinajitahidi Kutunza mitaji ya ndani na hivyo kila fursa inayopatikana inatunzwa kwa faida ya Nchi. Kirando cha kumnyima Mtanzania (alistahili) Sofia (So-Fire) zawadi ambayo...
2 Reactions
3 Replies
135 Views
Habari zenu wakuu, natumai mpo sawa kiafya. Nisiwapotezee sana muda, tuingie kwenye lengo la kuandika chapisho hili. Wadau nimekaa nikawaza kuhusu huu muziki wa Bongo flava, nikaona kuna kitu...
2 Reactions
6 Replies
114 Views
Muda huu lile tamasha la miaka 30 limeanza katika ukumbi wa Mlimani City. Wasanii wa zamani wanapanda jukwaani kutukumbusha zile ladha za miaka ile. Vijana wa miaka ile njooni hapa Live updates...
10 Reactions
930 Replies
12K Views
Mimi naikubali hii Pig Black ft Ay - Mtoto wa mjini
7 Reactions
428 Replies
55K Views
JINGLES KALI NA MATANGAZO MAKALI KABISA YA MIAKA HIYO 1. WEEKEND FEVER - RADIO FREE AFRICA- JAY MOE Ni weekend fever Jumamosi naisikiliza 2. BAMIZA - MAGIC FM - NGWEA Magic Fm tuko juu, sisi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwanza tuwe wawazi kwamba miaka ya 1990 ukionekana unaimba bongo fleva ilionekana we ni muhuni, mwizi au mvuta bangi, Haikuwa kazi ndogo sana kuifanya bongo fleva Ikubalike, Kubali ukatae hawa...
19 Reactions
98 Replies
26K Views
Wanaburudani habari zenu, Mziki wetu kuna vionjo fulan vya zaman vinakosekana, Hasa kwenye kiitikio ungemkuta dully Sykes, nature au q chief Hebu tuanze na juma nature, 1. Radhia 2. Mzee wa...
2 Reactions
116 Replies
21K Views
Wakuu I salute you kinsmen. Hilo tamasha la fid Q na madee naona wasanii wakongwe baadhi wanalalamika kuwa hawajaitwa au kubaguliwa ikiwa sifa walikuwa nazo. Sawa hawawezi kuitwa wote ila...
6 Reactions
33 Replies
486 Views
Anasema, Hapo kwa juu kwa moyo panakwangua Kwenye ubongo kuna ka -kitu kanasugua Haki ya Mungu lile likenge lingeniua Si angesema ka -anauza ningenunua Oya Mr. Dj Nipoze moyo Dj Ongeza sauti Dj...
1 Reactions
10 Replies
130 Views
Hii ni kubwa sana , hongera kwa Event organiser wa old xcul Bongo flava 30 yrs, tunapata burudani na kumbukumbu za wayback .
0 Reactions
4 Replies
118 Views
Ukiachana na mambo ya siasa, Sugu ni genius kwenye mambo ya biashara ya burudani. Fast toward, mwaka 2004 Sugu aliandaa / aliratibu tamasha maalumu la kutoa elimu ya na malaria na UKIMWI kwa...
10 Reactions
29 Replies
635 Views
Nyimbo ya dansi sikumbuki vizuri imeimbwa na bendi gani (nahisi tu ni daimond Sound) inaimbwa hivi "Nashangaa na maneno yako umekuwa kigeugeu aah neema tunapopendana na wewe umenitamkia mwenyewe...
0 Reactions
3 Replies
150 Views
Wadau wa burudani na wapenzi wa Hip-Hop/Melodic Rap ya ukweli hapa nchini, mambo vipi!Leo naomba kuwasogezea kazi zangu mpya kutoka kwa msanii anayechipukia kwa kasi kutoka pande za Arusha, Eazy...
1 Reactions
1 Replies
69 Views
1) one in a milion- Aaliyah 2) tease me- chaka demus and plies 3)send it on - D' Angelo 4) hallo-Beyonce 5)shawty- plies 6)Lollipop- lil' wayne 7) yako wapi mapenzi- rubby 8) masogange- belle 9 9)...
3 Reactions
11 Replies
240 Views
Kuelekea miaka 30 ya bongo fleva kuna baadhi ya ngoma zilikua mbele ya muda sana ukiachana na ngoma ya alikiba mapenzi yana run dunia ila video ya macmuga ilikua kali mno kwa kipindi hicho...
2 Reactions
5 Replies
126 Views
Unakumbuka zama za utotoni tukibishana kuhusu John Cena au The Undertaker? Wengi tuliamini wanauana kweli. Lakini leo tuweke mihemko pembeni na tuseme ukweli mchungu: WWE sio mchezo wa mapigano...
2 Reactions
5 Replies
168 Views
IBILISI RUDISHA FAHAMU ZETU(MIMI NA MKE WANGU). BY ISSAI SINGANO . (Singano jr). DIBAJI Saa saba mchana Frida alionekana akiingiza gari ndani ya hospitali na taasisi ya kitafiti ya Neuroscience...
11 Reactions
2K Replies
541K Views
Karibuni kwenye uzi maalumu kwa wale wapenzi wa Comics (Super heros) hasa kwa mashabiki wa DCEU movies na MCU movies. Mimi ni mshabiki wa Marvels hasa Doctor Strange upande wa DC nampenda Joker...
17 Reactions
3K Replies
147K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…