Nilikuwa natazama MTVbase ...wakaweka nyimbo zilizo hit za Usher Raymond.....top ten..wimbo huu wa You got it bad ndo ulitajwa kama ndio wimbo ulio pendwa au ku hit kuliko zote...ukiusikiliza tena...
15 Facts u shud know about JACK BAUER...
1. Jack Bauer is the leading cause of death in Middle Eastern men.
2 Jack Bauer once called the Vice President "Mr. President", but realized his mistake...
jamani wanajamii forum habari zenu,nilikuwa naomba yeyote mwenye wimbo wa andrew sekedia wa PAULINA ANIFANYIE ATTACHMENT NIUDOWNLOAD,nategemea hilo kutoka kwenu,asanteni sana
Siku zote katika maisha yangu huwa cpendi kujishusha hadhi kwa binadamu mwenzangu ambaye anaroho kama yangu. Ninasema hivyo baada ya kusikiliza wimbo wa msaani NIKI WA PILI katika wimbo wake wa...
Kuna haya mashindano ya BBA ambayo Tanzania huwa "tunashiriki " na hao " wawakilishi" huwa wanaenda na bendera kabisa za taifa.
Matendo yanayofanyika huko ni hatari tupu, kwani kuna yule demu wa...
binafsi natumia king'amuzi cha Azam ambacho kina chaneli mahsusi kwa filamu za Tanzania (chaneli ya filamu zetu). chaneli hii imeniwezesha kutazama filamu nyingi sana za Ki-Tanzania, na jambo...
CNN) -- Jason Derulo has a message for fans worried about his breakup with Jordin Sparks: "Everything is cool."The "Talk Dirty to Me" singer did an interview with a Twin Cities radio station on...
namsikiliza dada yangu salama ana kipindi kizuri sana sana
lakini kuna maneno anajisahau ama shetani anampitia ama anajaribu kusisitiza
ukweli naomba punguza ukali wa maneno kipindi chako kizuri...
Leo asubuhi nimekumbuka hii nyimbo ya Freddy Saganda na nikaona ni vyema niutafute kwenye mtandao. Kwa bahati mbaya nikaupata hapa Rafaeli - Freddy Saganda Usisahau kusema asante. Kwa sababu...
Los Angeles (CNN) -- Amber Rose insists the "irreconcilable differences" ending her marriage to Wiz Khalifa is his cheating, not hers.
Tabloids and blogs have published several variations on the...
Nimegundua matamasha mengi ya burudani ambayo hufanyika mikoa mbali mbali ya Tanzania hayafanyiki Arusha, kwa mfano fiesta, kili music, nyama choma etc Je wadau wa Arusha ni kwa nini?