Diamond, Davido wabwagwa na Sauti Sol E.M.A

Diamond, Davido wabwagwa na Sauti Sol E.M.A

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
Usione kimya sana leo ni kwamba diamond kapigwa chini kwenye best african act ya Europe music award(Ema) wameshinda sauti sol ambao sasa watashindana na jamaa wa asia hapo tarehe 9 november huko glasgow , scotland All the best, wazee wa sura yako muzuuri maaaamaaaaa
 
usione kimya sana leo ni kwamba diamond kapigwa chini kwenye best african act ya Europe music award(Ema)wameshinda sauti sol ambao sasa watashindana na jamaa wa asia hapo tarehe 9 november huko glasgow , scotland
All the best, wazee wa sura yako muzuuri maaaamaaaaaa

Muzuri mamaaaa...muzuri mamaaaa..
.jamani naupenda sana huu wimbo..
 
Watakuja hapa hapa akina el nino.
Ila ki ukweli jamaa ameshakataliwa tanzania na majuu.
Habari yetu kuu ya hapa darisalam ni yule yule mfalme wetu wa leaders.
 
Aiseee roho hadi imeniuma jamani.Mie nawapenda balaa

sio kweli walisingiziwa ni kama vile ali kiba alisvyosingiziwa..kuhusu ushoga labda umuulize huyo@Dinazarde kuhusu dj wa dangote
 
sio kweli walisingiziwa ni kama vile ali kiba alisvyosingiziwa..kuhusu ushoga labda umuulize huyo@Dinazarde kuhusu dj wa dangote

Aaaah nilitaka nishangae marijali wale wawe mashoga.......lol
 
sio kweli walisingiziwa ni kama vile ali kiba alisvyosingiziwa..kuhusu ushoga labda umuulize huyo@Dinazarde kuhusu dj wa dangote

Halaf weweee kama Ally k kasingiziwa na Dangote kasingiziwa hivyo hivyooo
Ndio nishasemaa
 
Aaaah nilitaka nishangae marijali wale wawe mashoga.......lol
account yao ilikuwa hacked...ndo mtu akapost hivyo...unadhani east africa imefikia hatua ya celebrity kujitangaza kwenye social media kwamba ni gay. amefanya hiyo mtangazaji wa uganda tena baada ya kukimbia nchi..wengine ni downlow
 
Halaf weweee kama Ally k kasingiziwa na Dangote kasingiziwa hivyo hivyooo
Ndio nishasemaa
hahahahahahhaaha nafikiri uamuzi wangu wa kuji suspend kumshabikia diamond ni uamuzi bora kabisa niliowahi kufanya...sasa hivi naona clear picture
 
account yao ilikuwa hacked...ndo mtu akapost hivyo...unadhani east africa imefikia hatua ya celebrity kujitangaza kwenye social media kwamba ni gay. amefanya hiyo mtangazaji wa uganda tena baada ya kukimbia nchi..wengine ni downlow

Huaga wanajitetea hivyooo kua Akaunt yao ilikua hacked
 
Back
Top Bottom