Hii filamu ya Kichina TBC ni nzuri Sana !

Shemeji/Wifi yako anaipenda sana.

Sijawahi kuiangalia ila huwa ananihadithia.
 
Mkuu hata mimi nichangamoto kweli kuingalia. Mara nyingi hua nakwepa kuangalia tamthilia kwa sababu zina addiction flani hivi. Ila hii ina uchesi sana. Hawa jamaa waliotafsiri sio Mchezo. Ni proffesional sana.
 
Aliniambia kwamba yeye aliambiwa walioingiza sauti za lugha adhimu ya Kiswahili ni wanafunzi wa Kichina wanaojifunza lugha ya Kiswahili pale University of Dar-Es-Salaam (UDSM).

Sijui kama ni kweli au ni maneno ya watu.
 
aisee ile tamthilia inafurahisha na ina mafunzo sana! hasa kwa wanandoa!
inanifurahisha sana jinsi jamaa anavyoumiza kichwa kukabiliana na baba yake na mamamkwe wake! yaan inafurahisha sana!
 
Raha ya filamu ni pale ambapo kila hatua ya onyesho haitabiriki... Wenzetu wanakwenda shule kwanza kuanzia mwandishi, washiriki na wapiga picha... Lakini sisi, mmmhhhhh!
KILA LA KHERI BONGO MOVIES - THERE IS A LONG WAY 2 GO!!
 
Be care full with my heart kitu kinapatikana star tv kila jm4, ijumaa mpaka j2 kuanzia saa 3 ni shidaaa
 
Aliniambia kwamba yeye aliambiwa walioingiza sauti za lugha adhimu ya Kiswahili ni wanafunzi wa Kichina wanaojifunza lugha ya Kiswahili pale University of Dar-Es-Salaam (UDSM).

Sijui kama ni kweli au ni maneno ya watu.

Wanaongea lugha safi yaan imenyoooka, aiseee naipendaje hiyo tamthilia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom