Diamond,Shaa, Joh Makini kutumbuzia Leo CoCo Beach

Diamond,Shaa, Joh Makini kutumbuzia Leo CoCo Beach

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,072
Wale wasanii wakali waliobamba kwenye coke studio watakuwpo leo kwenye viwanja vya Coco beach kuzikonga nyoyo za wapenda Burudani...

Wasanii hao ni pamoja n Dimond, Vanessa mdee, Shaa na Mwamba wa Kaskazini..

MY take....

Tokea shoo ya pale leaders Dimond ameperfom kama Shoo 4 ndani ya wiki 1 na nusu...kama ujuavyo Dimond hapandi stejini bila mtonyo wa 10000K na zaidi, hivyo wewe uliyezomea jiulize yule msanii wenu mpendwa amemake bei gani tokea Mumshangilie!!???..

Inasikitishaa sana mtu ambaye inasemekana ana mashabiki wengi na yeye anajiita mkongwe katika Game aishi kwa huruma za Fiesta na kudra za Ruge mutahaba.. swali la kujiuliza baada ya msimu huu wa Fiesta hataperfom mpka msimu ujao wa Fiesta!!???🙄🙄🙄🙄..

All n all usikose shoo kali pale Coco beach kutoka kwa Joh makini, Dimond, shaa na V money.....
 
Sasa hivi anaanza kutumbuiza coco beach hahahaha kaishiwa
 
Sasa hivi anaanza kutumbuiza coco beach hahahaha kaishiwa

inawezekana kweli ameishiwa ila ukumbuke kuwa Platnumz ni balozi wa Coca Cola na pia ni mshiriki wa Coke Studio ambao ndo wenye show ya Coco beach. ukiyajua haya na jinsi mikataba ya ubalozi wa makampuni inavyofanya kazi naamini utaitafakari tena post yako. sitakushangaa ukiiedit na kuamend
 
Sasa hivi anaanza kutumbuiza coco beach hahahaha kaishiwa

anafanya kazi za kibalozi...akaunti inasoma tu, we unashangaa coco beach wakati juzi alikuwa kwa Mengi
 
Sio 4 tu ongeza na ile ya Mahabusu kule.... Na wafungwa walivyokuwa jeur wakapumulia kabisa kisogoni
 
Diamond saka mapesa Ally k bado.anafuta vumbi kiti chake
 
Umekikomaliaje hicho kiti?kama alikunyang'anya vile....bila kumuongelea Kiba siku haiishi vizuri

Kwa hiyo siku hiz humu tunapangiana cha kuandika eti,naandika kinifurahishacho
Nawe andika kikufurahicho sipo humiu kukufurahisha
 
Kwa hiyo siku hiz humu tunapangiana cha kuandika eti,naandika kinifurahishacho
Nawe andika kikufurahicho sipo humiu kukufurahisha

Hahahaaaaa naona kila post una comment kuhusu kufuta vumbi kiti
 
Huwa inauma sana pale unapomchukia mtu afu anazidi kufanikiwa tu. Kwa kweli inakera sana!
 
Back
Top Bottom