Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Haya haya haya haya wale wote tunaomzimikia huyu kijana, tusioweza kula kunywa wala kulala bila kumuongelea huyu KICHWA wa bongo fleva njooni sasaaaa@miss strong, nifah, matola, geniveros diva beyonce msilale plzzzzzz!! chukueni soda hapo kwa mangi bili kwa tajiri.