Katika Makala yake aliyoiandika kwenye gazeti la Mwanaspoti la wiki hii... Baada ya kuisoma kwa utulivu na umakini nimegundua Edo ni moja kati ya hazina kubwa ya wachambuzi Tanzania tunaopaswa...
What happened to Amplifier we used to listen maana naona jamaa siku hizi story zake ni za kidaku and all about Diamond Platnumz mara Diamond this mara Diamond that ujinga mtupu, come on Millard...
Tanzania's Diamond gets Nyota Ndogo mistreated in Mombasa By Stevens Muendo Updated Monday, December 15th 2014 at 09:07 GMT +3 0 inShare The embarrassing treatment of Kenyan artistes has Tanzanian...
Wanajamvi,
Kuna huu wimbo unaitwa nadhani "Laiti Moyo".Sina hakika umepigwa na bendi gani ila nadhani ni Bima Lee na sehemu ya maneno yake yako kama hivi"Laiti moyo ungekuwa ooh,nakifuniko radhi...
Hi wadau.......
jamani samahani naomba kama kuna mtu anajua kwaya moja au kikundi cha waimbaji waliimba wimbo wa ''amani''
juzi kwenye maazimisho ya miaka 53 ya uhuru. naombeni wimbo au jina la...
Akiwa nchini Uganda, amechaguliwa kuwa best African entertainer kwenye tuzo za IRAMWA zilizofanyika nchini marekani. Congratulation kwake kwa kuitangaza nchi.
source...
"jambo linalonitisha hivi sasa ni huo mzigo ulio nao. Utafanyaje Sauda. Mimba hyo imeshakuwa kubwa la kufanya hulion,utamwambia nin Mumeo" kwa mwenye jina ama mtunz wa hu wimbo wa zaman tafadhal...
aaaaah!hawa vijana wanastahili pongezi japo sijui hiyo maana ya 'nitakupwelepweta'
...una sifa ya kuogopwa kama defender
...sitaki nizikwe na kilo mbili kwenye mfuko
...sitaki familia ilie kwa...
Anaitwa Brina. Amefanya albumiitwayo "Sauti za kiswahili" nyimbo zote ni za kiswahili. Anaimba kwa kiswahili, ingawa yeye mwenyewe haujui kiswahili. KISWAHILI NI LULU.
Sikiliza...
Ndugu WanaJF,
Siku chache zilizopita mashindano ya Miss World yamefikia kikomo huko London, UK, na kushuhudia mlimbwende kutoka nchi ya Afrika ya Kusini akinyanyua taji hilo. Lakini kabla ya hapo...
Ni maneno ya nyimbo moja ya kale. Nyongeza ya hayo maneno ni."mimba hiyo imeshakuwa kubwa,la kufanya hulion,utamwambia nin mumeo, jambo linalontisha hv sasa, ni huo mzgo ulio nao sauda." Naomba...
Wale wanaopiga kura kwa Miss Tanzania waendelee kwa nguvu zote. Kaingia Top Ten Leo, mukiendelea na moto huohuo kuna ushindi hapa ukizingatia Africa wameingia wawili tu, yeye na Miss South Africa..
Jamani huyu Miss wetu si mchezo, Yamebaki masaa machache, tumpigie kura kwa nguvu zote.
PIGA KURA YAKO MARA NYINGI UTAKAVOWEZA.
Hii ndo hali halisi hadi hivi sasa, inaonekana matumaini ni...
Davido ni mtu mwenye dharau sana!, hivi anatuchukuliaje sisi watanzania!?, yaani hiki kipande katlka wimbo wa my number one sikipendi,ni heri wangekifuta tu.