Lady jaydee kufunga mwaka na "FOREVER"

Lady jaydee kufunga mwaka na "FOREVER"

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,457
Dah!! Kweli jide safari hii umetuweza aiseeh na hii single yako mpya ya forever, wambea tumewazaa eeh na kuwazua ila hatujapata jibu kamili, ivi forever utakuwa umemwimbia nani? Gadner? Sidhan maana si nasikia hampo vizuri sasa ivi,

maana umo full kumwagia sifa mpenzi wako mara u wanna be with him forever mara my sunshine,my baby apo umewaacha njia panda akina maimuna kibajaji( Dinazarde) na abdalah msogoti( warumi), maana hatuelewi kabisa. Eh sisi tulijua wimbo wako mpya utakuwa ni full vijembe na madongo kumbe imekuwa tofauti, umetuwezaaa!!

ila umependeza sana sasa ivi cheusi dawa, umekuwa portable, soft na umependeza sana kuliko hata ulivyokuwa na huyo kipereto wako. Tunasubiria ngoma mpya ya FOREVER ft dabo, ni shidaaaah!!!!
 

Attachments

  • 1416404920759.jpg
    1416404920759.jpg
    22.9 KB · Views: 589
Aliyempamba kampatia kweli! Kaonekana binti hakika!

Hiyo single kaimba na mdogo wake Dabo na ni yamiondoko ya Reggae ....let's wait..lakini kama kawaida track zake
 
Aliyempamba kampatia kweli! Kaonekana binti hakika!

Hiyo single kaimba na mdogo wake Dabo na ni yamiondoko ya Reggae ....let's wait..lakini kama kawaida track zake

Aliyempamba kampatia sana, jide sio mbaya kama wengi wanavyodai, maana apo kaonekana kigor kwel kwel, naona gadner uko alipo atakuwa anamtamni na kuuumia, maana alijua jide atazidi kuaribika kumbe ndo kwanza anapendeza mtoto kama ana miaka 12
 
maimuna kibajaji

ha ha ha ha ha ha
nimecheka kama mwandawazimu

btw jina lako zuri

Ahahaah chezeya maimuna kibajaji wewe, jina tu nadhan ushamjua mtu mwenyew yupoje
 
Back
Top Bottom