Pacha wangu

Pacha wangu

MUHEKA PANGENDE

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2014
Posts
294
Reaction score
177
Wanajamvi niaje.Naomba kujua hivi wimbo wa Rich mavoko pacha wangu una maana gani.Asanteni
 
Mavoko anamzungumzia msichana anaye mpenda sana lakin watu hawapendi kuona wao wakipendana na hatimaye wakaachana baadaye akasikia huyo binti ameolewa kumbe haikuwa kweli na binti akarejea kwa mchizi mavoko
 
Haha ha ha nimeipenda hiyo kiitikio daah na ukikiotea ushatoka duuh mzik wa bongo cjui unakwenda wap
 
nikisikia umeolewa nitaleta zawadi sasa ndio nini yaani demu wangu aolewe nipeleke zawadi
 
Mavoko anamzungumzia msichana anaye mpenda sana lakin watu hawapendi kuona wao wakipendana na hatimaye wakaachana baadaye akasikia huyo binti ameolewa kumbe haikuwa kweli na binti akarejea kwa mchizi mavoko

Aiseeeee
 
Nyimbo ya roho yangu mbona hiyo nyepesi sana kuielewa kwan we ukichapiwa unaenda tangaza??
 
Back
Top Bottom