Wamajanga
Senior Member
- Jun 24, 2014
- 133
- 47
Ni hivi Clouds fm ni redio nzuri tu na mimi naisikiliza sana na Lady Jay dee ni mwanamuziki mzuri na anafanya muziki mzuri tu kwa hiyo natamani sana nisikie muziki wa Lady Jay dee katika Clouds fm, na Lady Jay dee bila Clouds fm havumi sana na Clouds fm bila Lady Jay dee hainogi kila mmoja ni muhimu kwa mwenzie
Pataneni tupate burudani iliyotimia
Pataneni tupate burudani iliyotimia