Mzee wangu aliwah kunambia kuwa ntapata shida sana nikiwa mtu mzima dunia hii. Sabab aliniona ni mtu ninayependa na ku enjoy ukwel na hii imesababisha nikose hata marafiki wengi.
Hizi movie za...
MWANA FA ( SONG - NAZEEKA )
Wote bado wana fuata mi ni kama mdundiko/ hata ujifiche wapi sauti itakufuata ulipo/ busara na maumivu katikati ya kauli zangu/ mimi ni kaka mkubwa jamaa msibishane...
Ukisikiliza nyimbo za kihaya na Design yake ya uchezaji, vikitumika vizuri tunapeleka Bongofleva kwenye Grammy.
Grammy wanapenda vitu asilia, na sio vya ku-copy. Ukisikiliza hii nyimbo ya...
[Blue]
yep yep
kushuka na kupanda, jana tumeshuka cheki leo tunapanda
nimepata idea ya kusambaza kanda, nimepata show za kenya na uganda
burundi na rwanda, twende pamoja twende tukasake chanda...
Wakuu habari zenu, natumai mko poa.
Nimekuwa mpenzi wa vitabu kwa muda mrefu, pia nimewahi kusoma vitabu vingi, ila niseme tu hichi kitabu sikuwahi kukimaliza nadhani wakati kinatoka sikuwa...
SISTER P FT. UNIQUE SISTERS "NIMERUDI TENA"
""Nimerudi Tena nina maana katika fani/ nataka kukumbuka Enzi zangu za zamani/ niliposhika mic watu walinipenda/ nikawa kimya kidogo watu wakaponda/...
CHANGAMOTO ZA WALIMU KATIKA TAIFA LETU LA TANZANIA..
"kutokana na uhalisia kwamba hali ya elimu kuzidi kuwa mbaya nchini hali hii imetokana na Changamoto zinawakabili walimu kama ifuatavyo:-...
THAMANI YA MWANAMKE KATIKA JAMII.
Mwanamke amekuwa nguzo muhimu sana ndani ya familia pale ambapo mwanaume anakuwa hajui wajibu wake ndani ya famili ,
Hii imekuwa ina tokea katika nyakati...
UMUHIMU WA ELIMU.
Dunia ya leo inahitaji utaalam/ufundi wa namna nyingi/Mbalimbali kwa mtu mmoja ili afanikiwe na kuwa kivutio katika soko la ajira na kuweza kwenda na wakati kulingana na...
BRONX FAMILY - MAMBO YOTE.
"Huu ni mwanzo wa chimbuko wa Hip Hop ya Bongo walikuwepo Gwm, niggers 2 public na k wa kwanzania , Mic walishika wakiwa ma mc wenye vipaji ingawa kuna wengi walipinga...
K
ARATA DUME - AFANDE SELE
Alichoimba kwenye Karata Dume kilitimia !! Baada ya mtoto wa afande sele mwana Dada " Tunda" kubukua mitihani kidato cha 6 mwaka 2019, Afande Sele msanii mkongwe wa...
From Football Pitch to YouTube Peak: Cristiano Ronaldo and MrBeast Discuss Fame, Football, and the Future of Content
Introduction
What happens when a football legend sits down with the king of...
Mkuu wa Mkoa alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi huu. Sisi wananchi wa Jiji la Mwanza tumefurahia sana uzinduzi huu ila ninaomba tuletewe pia nyama pori katika festival hii ya nyama choma.
===...
Msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania, Dizasta Vina ni mmoja wa viongozi katika orodha ya wafalme wa Hip-Hop wa kizazi cha leo. Muziki wake umebeba falsafa, mafunzo na mitazamo inayogusa jamii...
Shyne "Jamaa ananipa 50k wakati huo ametoka kuspend 500k kwa mpenzi wake"
Shyne ambae alikuwa mmoja wa entourage ya diddy wakati mtu mmoja alipopigwa risasi hadi kufa kwenye party, alikataa...
[emoji725]CHOMBEZO: NILIPOFUNGWA GEREZA LA WANAWAKE KIMAKOSA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
SEHEMU YA 01
"Na kesi imehairishwa mpaka tarehe ishirini na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.