Jana usiku kulikuwa na Tamasha pale Nairobi ambalo moja ya Wasanii walioalikwa kutumbuiza ni Wasanii kutoka Tanzania, Diamond Platnumz akisindikizwa na Zuchu huku Msanii mwingine akiwa Rayvanny...
Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz afichua kuwa alilipwa dola 150k sawa na TSh. Miloni 374 (373,554,903) kutumbuiza nchini Kenya katika show iliyovurugika mwisho wa wiki.
Taarifa hii...
Wakati nasoma shule ya msingi kulikuwa na watu mbalimbali wanakuja shuleni kufanya maonyesho ya mazingaombwe, yale maonyesho yalikuwa na buradani ya aina yake, wanafunzi wengi walikuwa wanalipia...
Japo ya kuwa ni nyimbo za zamani ila always ukiweka bado unapata burudan hile hike.
1.nisamehe ya belly black ft Suma lee
2.ulofa ya top c
3.sina raha ya Sam wa ukwel R. I. P
4.lala salama ya...
MASIKINI WEZANGU - NGWEA.
Wachache ndo wanaishi wengine maescorts/
Twiga wanapanda pipa hata bila ya passports /
Mikoa mingi bado haina hata airports /
Zaidi ya migodini madini kuyaexport /
Bila...
MTUNZI: SHAABAN ROBERT.
WACHAPISHAJI : Tanzania Publishing House. Dar es Salaam.
SURA YA 1
Mfalme Rai
Rai, mfalme wa Ughaibu , alikuwa mfalme namna ya peke yake duniani. Alikuwa na tabia...
A man of the people
Enters his office
to sit on the throne
of Party and State,
His stick of power
Across the table.
He looks into the files
To see the demands
Of the millions of people
Who for...
Hivi karibuni, Msimu wa Kutangaza Tamthilia na Filamu za Beijing Afrika ulianza jijini Dar es Salaam, Tanzania. Tukio hilo lililoandaliwa na Ofisi ya Redio na Televisheni ya Mji wa Beijing...
Kwenye wimbo wa Diamond wa Baba Lao yope wanatajwa na kusifiwa watu ambao Leo hawapo Tena kwenye circles of power .
Magufuli baba Lao.
Makonda baba Lao .
Hawa Leo wote hawapo mmoja kafa mwingine...
Diamond alikuwa na Show ya ku-peform kwenye Show ya Raha-festival huko Kenya 🇰🇪,
Ambapo Diamond, alisusa na kukataa ku-peform kutokana na kutokuwa na Maelewano kati ya yeye na waandaaji wa...
PROFESSOR JAY -MACHOZI,JASHO NA DAMU
VERSE..1
Nashukuru Macho yangu mawili hayana upofu/ na mdomo upo wazi kukemea mambo maovu/ siku inapofika naona Heri ya jana/ maisha ya wabongo yanakuwa...
Huyu kijana Boaz Danken anaimba nyimbo za injili za kusifu na kuabudu ni kama kwa sasa Mungu amempa kijiti kuongoza waimbaji wengine wa nyimbo za injili hapa nchini.
Mimi mkristo nasikiliza...
AFANDE SELE FT MR. NICE
( MIMI NA WEWE BASI)
CHORUS ( MR NICE)
Ahadi yangu mimi na wewe ilikuwa ni kuishi wawili/ ( afande sele) - "Aah"
Kwakuwa umebadilika mimi na wewe Basi /... ( Afande...
Ule msimu wa funga mwaka uliokuwa ukisubiriwa umewadia.
Orodha ya Wasanii Bora Mwaka 2024:
1. Marioo
2. Diamond Platnumz
3. Harmonize
4. Alikiba
5. Zuchu
Orodha ya nyimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.