Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Eti wakongwe tukiweka playlist za hawa wamama wawili nani anajua katika kipindi chake aliimba kiwango cha mbingu kufunguka. Mimi naanza uchambuzi kati ya Kokola ya tshala muana na Greatest love...
3 Reactions
15 Replies
784 Views
HIP HOP YA BONGO. Wasanii wa hiphop wanaunda sehemu kubwa na ya muhimu katika muziki wa Tanzania. Japo kuna watu wanaoamini kuwa ushindani kati ya rappers wa Tanzania umepungua ukilinganisha na...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
MWANA FT. PROFESSOR JAY. SONG. JUKUMU LETU. VERSE. 1. (MWANA FA & PROFESOR JAY) Professor jay: Kilio la mgambo limelia kote nchini kwa wote Yaani mjini na vijijini/ Tanzania 🇹🇿 imegubikwa na...
0 Reactions
1 Replies
900 Views
Mimi huzipenda sana,kwasababu zifuatazo: 1.zina mafunzo mengi ya maisha 2.wasanii wao ni watu wenye ujuzi mkubwa,wana act vizuri mno kwa kila scene 3.wanajua kuvaa vizuri kulingana na scene...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ikiwa ungetakiwa kuchagua ngoma za kundi moja la kusikiliza nyimbo zao kati ya haya matatu: Prof. Jay, Afande Sele & Juma Nature Alikiba, Matonya & MB Dog Joslin, Noorah & Mr. Blue Ungechagua...
2 Reactions
6 Replies
709 Views
PROFESSOR JAY FT BANANA ZORO - NISAMEHE.. VERSE 1. ( PROFESOR JAY) "Usiniache mupweke utafanya watu wanicheke/ ni wewe pekee uliyefanya mi ni deke/ kuvunja mpenzi letu utafanya mi niteseke/...
0 Reactions
2 Replies
442 Views
Umefanya kosa let say 'treason' then ukakamatwa na umepelekwa mbele ya mmoja kati ya hawa ili uhukumiwe, unadhani yupi angalau anaweza kukusikiliza na kukusamehe? 1. THEODORE "T-Bag" BAGWELL...
1 Reactions
11 Replies
644 Views
PROFESSOR JAY. MAGEREZA yanawaka moto Wafungwa ndani ya msoto/ Wanaume wanavyocheza Baba na mama kama watoto/ Ni ukweli usiofichika mfungwa hachagui gereza/ Wote wana haki sawa sio tu...
1 Reactions
2 Replies
513 Views
CHANGE Story by Elton Tonny Urafiki, Familia, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Usaliti, Unyanyasaji, Ukatili, Mauaji, Mambo yasiyotazamiwa, Mambo yenye kuhofisha R-rated 18+ DISCLAIMER: Hadithi...
11 Reactions
284 Replies
76K Views
..MARIOO ni msanii ambaye anatoa hits nyingi sana ambazo zinafanya vizuri kila kona ya mtaa, na endapo DIAMOND akimwachia upenyo MARIOO wa kuendelea kusikika mtaani basi lazima atachukua nafasi...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Nitaanza na hii ya Songa kwenye Hisia za Moyoni. "Imani ni bora kuliko dini"
10 Reactions
37 Replies
2K Views
Heshima kwenu nyote. Kuna movie moja ya Kizungu niliwahi kuona jina lake humu ndani ila ni miaka zaidi ya mitatu nyuma nimesahau jina. Hiyo movie Starring hajui kupigana, yupo na mke wake na...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Nyota za "Hollywood Walk of Fame" ni alama za mafanikio katika sekta ya burudani, zikibeba majina ya wahusika mbalimbali kama vile waigizaji, wanamuziki, producers, directors, vikundi vya...
2 Reactions
1 Replies
561 Views
Ni tamthiliya ambayo ilikuwa na kisa kizuri ambacho naamini kama wangepatikana watu wenye ujuzi au uzoefu zaidi wangekiandikia na kukicheza vizuri zaidi. Pengine lugha pia inapunguza utamu kwa...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
SIMULIZI: NAITWA MUME ZOBA KWA KUMPENDA MKE WANGU. SEHEMU: 1 MTUNZI: Madodi ✍🏼 Whatsapp: 0655 969 973 Naitwa Iqram, kijana mrefu, mweusi mwenye tabasamu la kuvutia ambalo lilikuwa na uwezo wa...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
JOE MAKINI - HAO. A city Your now lucking with the best. Joe makini Aaah.. Yeah. Aaah.. Verse..1. Hawa ongopi hata kusema hukumu imekaribia/ na waimbaji wa dini na hata wao pia/ wanatuzwa na...
0 Reactions
3 Replies
725 Views
Oh na na naaaaa! Eyaaaah INACHOMA 1. Nimeajiriwa kwenye Ajira niliyojiajiriii, Na ninasifiwa utendaji Wangu wa kazi ni nzuri, Navumilia huenda nitapata kivuli, Nitapata kivuli imeshakata miaka...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu Mwanamuziki maarufu wa dancehall kutoka Jamaica, Sean Paul, aliwasili Tanzania jana (Novemba 29) kwa ajili ya show yake inayotarajiwa kufanyika leo. Katika mahojiano na Bongo 5, alipoulizwa...
8 Reactions
64 Replies
4K Views
JOE MAKINI - DAKIKA 90 Nafika home kisha mama yako anakueleza ndani ya hi game umefunikwa na joh makini mwamba wa kasikazini/ utamjibu nini umefanya kweli kiasi ambacho imewapindi kupana...
1 Reactions
0 Replies
443 Views
1. Apocalypto (2006) 2. Indiana Jones and the Last Crusade (1989) 3. The Lord of the Rings: The Two Towers (2002) 4. The Empire Strikes Back (1980) 5. The Shawshank Redemption (1994) 6. The...
3 Reactions
2 Replies
5K Views
Back
Top Bottom