Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nadhani muda wa kuwekeza kununua PS5 umefika. Huyu Lucia atakua my fav character.
4 Reactions
19 Replies
815 Views
  • Poll Poll
pichani ni ngoma kali nilizozisikiliza zaidi 2023. Katika miaka ya hivi karibuni, nimekuwa shabiki mkubwa wa muziki wa Kikongo, haswa kazi za Ferre Gola na Fally Ipupa. Walakini, hivi karibuni...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
JAMANI EEEH. NYIMBO GANI YA ZAMANI YA HIP HOP BONGO FLEVA HADI LEO HAUJASAHAU MISTARI YAKE? MIMI KUNA HII HAPA CHINI YA JCB INAITWA SINA TAXI REMIX. HEBU TILILIKA NAYO HUKU UKITUPA NA WEWE LYRICS...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Nadhani kuanzia saa tatu usiku hadi saa nane usiku(nafikiria), katika channel ya clouds TV, crown na sinema zetu umekuwa na kipindi cha stand up comedy kinachoitwa Churchill show. Kipindi kina...
1 Reactions
5 Replies
668 Views
RIWAYA: MPANGO WA KONGO NA, BAHATI MWAMBA SIMU: 0758573660. 1 MAUAJI Ilikuwa ni ndani ya majengo ya ubalozi wa Tanzania yalioko pembeni kidogo mwa mji wa mji mkuu wa Congo DRC katikakati...
20 Reactions
695 Replies
138K Views
Mfalme Pharao de Tanzanie, Le Roi de la Rhumba Mfalme Pharao - Usiwasikilize https://m.youtube.com/watch?v=3tz4RFZXwZE
2 Reactions
6 Replies
552 Views
Awali ya yote kwa yeyote aliyekuja pupa ili kunijibu nina maneno mawili tu, "Punguza spidi", rejea kichwa cha uzi kisome vizuri kisha urejee tena. Nakiri kwamba sikuwahi kuangalia filamu ya John...
3 Reactions
17 Replies
802 Views
Kumekuwa msikilizaji mzuri wa ufm kwa baadhi ya vipindi vyake. Niliamua kupunguza vipindi vya kusikiliza baada ya kugundua kuwa wana uchawa mwingi sana. Niliendelea kusikiliza vipindi vya mziki wa...
7 Reactions
13 Replies
912 Views
Wakuu, Naomba tu support kazi ya binti yetu ametoa single inaitwa “Harusi Nyeusi”. Please share and repost Tik tok https://vt.tiktok.com/ZS6hUK76M/ Instagram...
0 Reactions
2 Replies
347 Views
Karibu ujisomee Simulizi Fupi zaidi ya 500 Bure Series
1 Reactions
46 Replies
13K Views
Bila shaka utakubaliana nami kwamba, kwa kipindi Cha hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la comedians Tanzania ukilinganisha na miaka ya nyuma kidogo, zamani comedian wengi walikuwa agego...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
2 Reactions
0 Replies
228 Views
Mzuka wanajamvi Nipo hapa naandaa script ya movie bonge la movie ambayo itateka gumzo la kila mtu nchini. Jina la movie Muuza madafu encounter freedom. Ni hivi. Inaanza magaidi kutoka msumbiji...
12 Reactions
58 Replies
2K Views
TOP 50 MILITARY & CIA Films 1. Bridge of Spies (2015) - 7.6 2. Mission: Impossible – Rogue Nation (2015) - 7.4 3. Sicario (2015) - 7.6 4. Spectre (2015) - 7.0 5. Eye in the Sky (2015) - 7.3 6...
4 Reactions
9 Replies
4K Views
Au hata link nipakue maana nimetafutia bila mafanikio
1 Reactions
1 Replies
357 Views
Au UFISADI ushaingia na huko maana kesho nona Games zangu za kutazama halafu sijui vipi maana DSTV nao michosho
0 Reactions
104 Replies
15K Views
Msaada tafadhali mp3 NB: beat na sio vocal
0 Reactions
0 Replies
324 Views
Hizi ndio nyimbo 15 nilizozikubali zaidi mwaka huu 15. AYRA STARR COMMAS Country: Nigeria🇳🇬 https://youtu.be/EhyzYPSHRQU?si=cbdRnjb8o5DmTy8z .. .. 14. DIAMOND PLATNUMZ- HOLIDAY...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Burudani Mbeya imekuja na TUZO za burudani Mbeya kwenye nyanja ya MUZIKI, FILAMU, COMEDY, MODEL, VIXEN, MPIRA na HABARI kupitia platform zake za blog, YouTube channel na Instagram. Kwa maelekezo...
1 Reactions
0 Replies
311 Views
MAISHA YA WASANII NJE YA SANAA Unaweza kusema sanaa bila ubunifu ni sawa sifuri, maisha ya usanii yanahitaji bunifu zenye athari chanya kwa jamii kwa lengo la kuendelea kukuza majina na kazi zao...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom