Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Mkasa : NILIVUNJA NDOA ZANGU 3 KULIPIZA KISASI Mwandishi: IRENE MBOWE (Irene Mbowe Kungwi Lao) Imeletwa kwenu na: BURE SERIES KISA CHA UKWELI ANACHOSIMULIA CHARLOTE, ANASEMA HIVI, MAJIBU YA MAMA...
4 Reactions
94 Replies
20K Views
Asalaaam wanajamvini. Kazi yangu moja tu kuanzisha mada kutokana na wanayoongea wengi wakiwamo wasanii. Kuna msanii mmoja mkwe wake Majani anafahamika kama Mario, amesema nyimbo zake zote...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
FEMALE RAPPER SISTER P ALBUM..MAREKEBISHO. SISTER P . Kasi tulikuwa nayo sisi enzi zile, sasa hivi hakuna anayekuja kwa kasi, huyu (Chemical) anajitahidi kasi sio mchezo bado mapengo yetu yapo...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
📖Mhadhara (75)✍️ Februari 24, 2002 ilizinduliwa albamu iitwayo "UKWELI MTUPU" kutoka kwa wasanii wawili, si wengine bali ni WAGOSI WA KAYA kutokea kule mtaa wa Kisosora, Tanga mjini. Mmoja aliimba...
2 Reactions
7 Replies
672 Views
MTUNZI: NYEMO CHILONGANI. MAHALI: DAR ES SALAAM. SIMU: 0718 069 269. NITAKAPOKUFA 1. Mlango ulisikika ukigongwa kifujo fujo na mzee Kessi ambaye alikuwa ametoka kunywa pombe za kienyeji katika...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Wasalamu, wadau maisha ni mafupi Kila mtu ana starehe yake. Azam nimelipia ila nashindwa kuipenda kama Dstv, naona Hawa Dstv wana picha HD sana. Ila mnaolipia Cha 165,000 naona mnapata channel...
2 Reactions
9 Replies
884 Views
Na Lizzy (Kisa hiki ni cha kutunga, mfanano wowote na watu au matukio halisi ni bahati tu na siyo kusudio langu. Haki zote za kunakili, kuchapa, au kutoa kwa namna yoyote ile iwe ya uchapishaji...
45 Reactions
379 Replies
57K Views
Movie za mapigano Bongo zinakwama wapi asee, naona tumerudi kwenye tamthilia za masimulizi nazo bado stori zile zile unaikumbuka Misukosuko, na Penzi la Misukosuko. Uliangalia ulikuwa kibanda...
2 Reactions
18 Replies
13K Views
FILAMU NILIYOITAZAMA ZAIDI YA MARA KUMI. LET IT SHINE (2012) Tyler James Williams, mtoto wa mchungaji, ndiye mhusika mkuu kwenye simulizi hii akiwa sambamba na Coco Jones. Nilianza kumfahamu...
10 Reactions
27 Replies
2K Views
RIWAYA : KIAPO CHA JASUSI SEASON 1 SEHEMU YA 1 MTUNZI:PATRICK CK MAWASILIANO :0764294499 DAR ES SALAAM 20/04/2032.. Saa kumi alasiri muda ambao jiji la Dar es salaam...
27 Reactions
447 Replies
167K Views
Aliyeandaa Script uwezo wake wa kufikiria ni mkubwa jinsi character walivyokuwa wakifanya mazungumzo una feel na kuenjoy wanavyojibishana hizi ndio tunaita Masterpiece. 1. Jamaa baada ya kuibiwa...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Mmiliki na Mkurugenzi wa EFM na TVE Francis "Majizzo" Ciza ametaja Playlist ya ngoma zake 20 bora kwa mwaka 2024 na ameiweka Komasava ya Diamond namba moja na katika orodha hiyo Marioo ndio jina...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
WAASISI WA MUZIKI WA RAP " HIP HOP TANZANIA" Fresh X E - jina halisi ni Edward Mtui na ndiye hasa mwanzilishi wa kurap kwa Kiswahili katika miaka ya 1980 na alikuwa akiimba wimbo wake kwa...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Natazamwa kama mgongo Wa kuegewa kama chombo Nikitegemewa na watoto Lakini kwa ndani mi' ni mtoto pia Mtoto wa katikati Njiapanda kati ya Ukweli na uongo Ukubwa na udogo ama Upofu na uchongo Ama...
6 Reactions
6 Replies
716 Views
Kwa anayetaka kujua Uwezo wake atafute ile Video ya Kanda Bongoman ya Live aliyopiga nchini Kenya kabla aliyekuwa Rais wa Kenya Daniel Arap Moi kumpa Saa 24 Kanda Bongoman aondoke nchini Kenya...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Just imagine mwana wa mai 🤣🤣😆
2 Reactions
2 Replies
433 Views
Ni jumatatu yenye hangover ya weekend. Basi lets talk about Music. Good Music.. Rhumba & seben Music. Kutoka miaka ya 1990 jamii ya Tanzania katika anga la Burudani, muziki wa dansi (nikimaanisha...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Moja ya series kali sana. Saa 5 kamili itakuwepo Netflix. Wanasema haitapatikana kwenye platform zingine isipokuwa Netflix.
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Blog ya @burudanimbeya wanakupa taarifa ya utoaji wa Tuzo Kwa wanasanaa wote nyanda za juu kusini ikijumuisha wanamichezo na dhumuni la hizi Tuzo ni kuonesha kutambua mchango wa watu Hawa hapa...
2 Reactions
0 Replies
309 Views
Back
Top Bottom