Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wadau pamoja na mizengwe yote inayofanywa. Mimi natabiri Diamond kuchukua tuzo kumi mwaka huu sababu kajitokeza kwenye vipengele 10 huku anayemfatia kwa nominations ana category 5...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Jamani naomba munisaidie natafuta huu wimbo niliuona mara1 ulipigwa kwenye channel flani tena nilikuta mwishoni kabsa, Kaimba mdada kama ckosei then humo ndani kama anahang around kwa town hivi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama upo katika muziki na unataka kuendelea usikose kusoma USHAURI HUU (chini). tulia soma by Godwin Tom Hi Guys… It's been a while… Way over a year! Missed me? Brief...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Licha ya kuwa ni wimbo mzuri wenye mpangilio wasauti na waimbaji,pia una ujumbe muhimu sana kwenye jamii yetu, Hivi tumekwisha kaa tukawaza kuwa kutoa mimba pia ni kosa na ni dhambi kubwa sana...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Kubali ukatae lakini huo ndo ukweli watoto wa oysterbay, masaki na mitaa ya kizungu mikoa mbalimbali wanaofuatilia hii aina ya mziki wachache sana. Hiphop ina mashabiki wengi sana usipinge...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Kwa wale wapenzi wa magame kama mimi naombeni msaada wa kupata update za fifa 14 au free fifa 15
0 Reactions
0 Replies
749 Views
Wadau wa mziki wa Injili nadhani mmeshawai kuusikia Wimbo wa kijana na Mtumishi wa Mungu Ambwene Mwasongwe ujulikanayo kama "Upendo". Ama hakika ni wimbo mtamu sana kuusikiliza,Ambwene...
2 Reactions
25 Replies
22K Views
Hi wanajamii, natafuta mwanamziki anaeimba peke yake let say na kinanda.mic peke yake aje kutumbuiza kwenye small birthday party, ajue kuimba nyimbo mbali mbali nk, mfano hawa ambao huwa wanaoimba...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani wana jamiiforum wenzangu nitaipataje hii series ya Legal wife either kwenye CD au kwenye flash. Yaani naihitaji sanaa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo ndio kumekucha tuzo za watu zinaendelea usiku huu Haya mwagikeni nani na nani wamechukua tuzo Sio mbaya kusifia vile vilivyowapa tuzo hizo pia, ili watu tusiojua tuzijue kama ni movie taja...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
This is purely feminine and has never felt fresher. Go floral this summer with abstract, minute beautiful prints..... For more: Your look for summer 2015
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Habari zenu wakuu... naomba kusaidiwa Link ambayo nitaweza kupata English Subtitles za Series inayoitwa ARROWS ON THE BOWSTRING-season 1..ni ya muda kidogo kwa anayeweza kunisaidia tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
906 Views
JE, NI KWELI BONGO MOVIE INAKUA? Nianze kwa kusema nimekuwa mdau wa bongo movie kwa mda mrefu sasa, tangu enzi za shamba kubwa, nsyuka nk. Hivyo nimeona ni vyema na mimi leo nikatoa yangu ya...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Je? ni movie gani ambayo ushawai kuangalia na ilikusabisha ukalia kwa kutoa machozi kabisa, for me, THE FOULT IN OUR STARS which been directed by josh boone, the foult in our stars, that...
1 Reactions
117 Replies
13K Views
Indoor activities that will keep toddler and you happy and active.Indoor activities for kids are a fun way to spend a rainy. Thease games build your toddler creative and smarter. Gravity Force is...
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Baba yake alikuwa mkoloni kipindi huyu Miss mwali Mchonga alikata utepe lakini hakuvinjari Sababu alikua busy kumlinda na geti kali Kumbe wenzake wanabinjuka, kushtuka akakaa mbali Demu alikua na...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
salam wapendwa! natamani kumfahamu zaidi mtailand wengi humuita home back mzee wa vipepsi, anaenikosha sana kwa mapigo yake. naskia aliuliwa, baada ya kugoma kuchezea picha zake hollywood sina...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wana jf,, i am 21 years old. nadhaamni sio umri mdogo kwangu but naskitika kuona sijapiga hatua hata moja inayoonekana ingari nina utajiri mkubwa kichwani mwangu,afya na nguvu pia labda...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu,kama kuna mtu anajua sehemu wanayofundisha martial arts nzuri ila isiwe SHOTOKAN either TAE KWON DO,JEET KUAN DO, TAI CHI au mwingine wowote naomba ani pm please! shukrani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…