Mzee_2015
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 255
- 58
Naomba kuwasiliana na Diamond katika masuala ya professional .Nahitaji nipate contact za uhakika za watu muhimu wanao simamia kazi zake hapa Tanzania kama (manager ,Press&Publicity officer, and judicial adviser) Nadhani diamond platinum rais wa wasafi amezungukiwa na Team ya watu niliowataja hapo juu.Naomba kupata contact zote
Jamani SITAKI IDHIHAKA SITAKI MATUSI. Anae jiona hupo sirious kunipa maelekezo au contact zao.
Tafadhali nitumie pm ili niweze kuzifanyia kazi
Ahsante
Mungu ndyie hakim wetu ..........
Jamani SITAKI IDHIHAKA SITAKI MATUSI. Anae jiona hupo sirious kunipa maelekezo au contact zao.
Tafadhali nitumie pm ili niweze kuzifanyia kazi
Ahsante
Mungu ndyie hakim wetu ..........