Yamoto Band campaign song

Yamoto Band campaign song

ndugufred

Senior Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
137
Reaction score
44
Kwanza kabisa naomba nijihami,sina lengo la kisiasa hata kidogo kwa kitu ntakachokiandika hapa,ni hobby tu nothin more.
Siku January Makamba anatangaza nia,kuna kawimbo fulani hvi walikuwa wanakapiga,ambako kwa sauti najua yamoto band walishiriki kukaimba,nilikapenda sana ila nimetafuta jinsi ya kukapata sijafanikiwa.Kwa yeyote anayejua wapi ntakapata plz anielekeze au apost hapa moja kwa moja.
Katika hako ka wimbo wanamtaja jamaa[mtia nia],na blah blah nyingine za kisiasa ila melody yake na vocals sasa,kwa mpenz wa muziki nadhan atakuwa anaelewa pale wale madogo wakiwa ktk ubora wao inakuwaje.
 
Back
Top Bottom