Music Training Centre

Music Training Centre

amoneyazan

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
698
Reaction score
473
Habari zenu wadau,

Ninapenda sana kujifunza mambo yanayohusu mziki, hii ni pamoja na kujifunza kupiga vyombo kama piano, drum na guitar
Lakini sifahamu ni maeneo gani naweza pata mafunzo kwa hapa Dar es Salaam.

Kwa anaefahamu tafadhali naomba msaada kuhusu swala hili

Natanguliza shukrani..🙂
 
Poa kaka ngojaa tusubiri updates za wadau wengine pia mkuu....i hope tunaweza fanikisha
 
Hata mimi napenda sana kupiga guitar na keyboard anaejua kwa Mwanza aniambie.
 
Habari zenu wadau
Ninapenda sana kujifunza mambo yanayohusu mziki, hii ni pamoja na kujifunza kupiga vyombo kama piano, drum na guitar
Lakini sifahamu ni maeneo gani naweza pata mafunzo kwa hapa Dar es Salaam.
Kwa anaefahamu tafadhali naomba msaada kuhusu swala hili
natanguliza shukrani🙂
Nenda pale ilalabt
Nenda pale ilala bungoni kwny chuo cha splendid secretarial college kuna mwalimu pale anatoa elimu ya muziki!
 
Nenda pale ilalabt
Nenda pale ilala bungoni kwny chuo cha splendid secretarial college kuna mwalimu pale anatoa elimu ya muziki!

Asante kaka ntafanya hivyo

Vipi wana course hiyo kabisa hapo chuoni au ni huyo mwalimu ndo anafundisha privately...
 
Back
Top Bottom