wadau kuna nyimbo za taarabu za zamani zilizopigwa na abdul misambano akiwa na leila khatibu.nimezitafuta mpaka nimechoka.Leila wangu,asuu, nk nitazipata wapi jamani? Msaada tafwadhari! @jamani
wadau kuna nyimbo za taarabu za zamani zilizopigwa na abdul misambano akiwa na leila khatibu.nimezitafuta mpaka nimechoka.Leila wangu,asuu, nk nitazipata wapi jamani? Msaada tafwadhari! @jamani
mkuu nitumie hata hizo nitashukuru zedy2004@gmail.com
safi sana kiongozi.nitashkuru kama nitafanikiwa.
thanx mkuu jf kweli kiboko.ok hii link nimeweka nyimbo 24.... nyingi ni za abdallah issah...

Download Old taarab.zip from Sendspace.com - send big files the easy way

kesho ukirejea nitaweka nyingine
ok hii link nimeweka nyimbo 24.... nyingi ni za abdallah issah...
Download Old taarab.zip from Sendspace.com - send big files the easy way
kesho ukirejea nitaweka nyingine
Viper please please naomba kama unazo za Bi Shakila uziweke.
kiongozi upo juu nimezinyonya zile ulizo niwekea juzi na hizi kesho nafanya kweli nitakapokuwa ktk pc shkran sana.kama nilivyokuahidi nyingine hizi

Download Old taarab.zip from Sendspace.com - send big files the easy way

kuna tracks 27 >>> kuna nyimbo za abudul aziz, asha simain , oman modern taarab, culture .. na wengineo

kesho nitakuweka nyingine!
kiongozi upo juu nimezinyonya zile ulizo niwekea juzi na hizi kesho nafanya kweli nitakapokuwa ktk pc shkran sana.
hahahahaaaa!mkuu jana nilikuwa napiga hayo mapini watu wakaanza kuniuliza kama naweza kuwawekea ktk simu zao.nikawaambia naogopa cosota watanifunga.pamoja sana mkuu pia najua hizo unazo ziweka tumefaidi wengi japo wengine hawajachangia ilatambua unatusaidia wengi..alafu umenikumbusha na goma jingine linaimba hivi'njoo darling njoo darlng unipoze moyo' na 'mimi mwenyewe kwenda nimekwenda sokoni kununua kabechi pilipili kuletea bibi chumbani.dagaa uono mboga yawanyonge.......poa na Zip nyingine 37 .... baadaye temebelea hapa nitakuwekea link
hahahahaaaa!mkuu jana nilikuwa napiga hayo mapini watu wakaanza kuniuliza kama naweza kuwawekea ktk simu zao.nikawaambia naogopa cosota watanifunga.pamoja sana mkuu pia najua hizo unazo ziweka tumefaidi wengi japo wengine hawajachangia ilatambua unatusaidia wengi..alafu umenikumbusha na goma jingine linaimba hivi'njoo darling njoo darlng unipoze moyo' na 'mimi mwenyewe kwenda nimekwenda sokoni kununua kabechi pilipili kuletea bibi chumbani.dagaa uono mboga yawanyonge.......
mkubwa tunasubiri za bi kidudehahaha hiyo nyimbo ya njoo darling kaimba bi shakila nadhani, basi hizi hapa nyingine ndani utawakuta kina sabah munchanchu, ile nyimbo yake "mithili yako hapana" , bi rukia ramadhan , seif salim .. ikhwaan safaa , issa matona "kimasomaso" na wengine

Download Old taarab.zip from Sendspace.com - send big files the easy way

kesho nitakuwekea za bi kidude na bi malika