Nani kama Diamond Platnumz, Rais wa Wasafi?

Nani kama Diamond Platnumz, Rais wa Wasafi?

Freeland

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
14,481
Reaction score
10,233

Diamond Platnumz anazidi kuthibitisha nguvu aliyonayo. Ni siku 12 tu tangu aachie video ya wimbo wake ‘Nana' aliomshirikisha Flavour, lakini tayari imepata views zaidi ya milioni kwenye Youtube.

Hadi Jumatano tarehe 10 june 2015, Nana imefikisha views 1,013,350 (views zinaongezeka kwa kasi).

  • "One million Plus Views on Youtube! In just 10 days…kwakweli nawashkuru sana kwa Mapenzi yenu emoji.. OyA! #Sankoro Kama Ronaldo," ameandika Diamond kwenye Instagram kusherehekea mafanikio hayo.

#Teamdiamondforever
 
Diamond ni international kuna wasanii wa Nigeria kama kina Iyanya kufikisha views hao m1 kwa 1week hawajawahi na ustar wote. Davido ft Uhuru ad sahv ina views M2 na ina miezi kama 6 hiv. Diamond in 12days 1M sio kitu kidogo hiki. Jamaa anatizamwa na africa nzima
 
diamond ni international kuna wasanii wa nigeria kama kina iyanya kufikisha views hao m1 kwa 1week hawajawahi na ustar wote. Davido ft uhuru ad sahv ina views m2 na ina miezi kama 6 hiv. Diamond in 12days 1m sio kitu kidogo hiki. Jamaa anatizamwa na africa nzima

k 4 real
 
Diamond ni international kuna wasanii wa Nigeria kama kina Iyanya kufikisha views hao m1 kwa 1week hawajawahi na ustar wote. Davido ft Uhuru ad sahv ina views M2 na ina miezi kama 6 hiv. Diamond in 12days 1M sio kitu kidogo hiki. Jamaa anatizamwa na africa nzima
Christian bella alishanyoosha mikono kwa Diamond.
 
Back
Top Bottom