20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,255
Huyu mwanamama alitengeneza nyimbo kali sana,
nikicheki picha ya huyu mrembo nakumbuka ngoma hizi zake kali sana
umqombothi, motherland,makoti , im in love with a dj, Sangoma
ipi ilikuwa hot kwako, mwenye nazo aweke tupakue wakuu
From me to you!
ndombolo ya solo
ndombolo ya solo
Bila ya kumsahau Miriam Makeba, Ana nafasi yake katika muziki wa africaChakachaka na Mbilia Bell kwangu ni wanamuziki bora wanamama Afrika..