Kwa wapenzi wa tamthiliya ya Shades of Sin! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wapenzi wa tamthiliya ya Shades of Sin!

Discussion in 'Entertainment' started by Makanyaga, May 25, 2010.

 1. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2010
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,501
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Pretta is pretty crazy, mzuri sana kwa sura lakini IQ yake ni ndogo sana. Huyu na Appollo wote akili zao zimefanana. Jana kamfanyiam kitu kiaya sana Philip, something rarely forgivable!

  Mimi namfagilia sana Germana, hata Tony na Barbra; japo criminals lakini IQ zao ziko juu, huwezi kuwalinganishana na akina Appollo na Pretta. Combination ya Pretta na Appollo itakuja kuibua kitu kibaya sana kwenye mapenzi huko mbele.

  I also like Kaki, Mumschka na watoto wake crazy, Moa, Kika na wengineo. Pretta na Appollo are just confused comedians with very low IQs (of course nawasemea katika mchezo tu na sisemei katika hali halisi)
   
 2. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Na wewe IQ yako ina mgogoro ku bank on translated soap opera life :angry:
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280
  Mimi nafurahishwa na Mamuska na vijana wake.
   
 4. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2010
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,501
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Wewe ru serious! How translated? Or translated in what sense! Wewe lazima utakuwa ni mtani wangu!
   
 5. Nyanidume

  Nyanidume JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 2,156
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  Mi nawakubali wote ni waigizaji wa ukweli!
   
 6. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kitu paco hb wa ukwee.....
   
 7. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2012
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,501
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Imesharudi tena wanaionyesha Channel Ten, kwa wale ambao huwa wanapenda kurudia rudia tamthilia, kazi kwenu!
   
Loading...