Huwa napenda sana kipindi cha Sports Bar cha Clouds. Naona wanaongea sana kuhusu Ndondo Cup. Sasa jana walikuwa timu ya Kauzu yule jamaa ana uwezo kweli wa kumobilize watu ila ile lugha bana...
Super Star Salman Khan known for his macho actions roles makes complete change over in 'Bajrangi Bhaijan ' directed by Kabir Khan. Film revolve around a lost girl child from Pakistan in India and...
50 Cent can no longer afford to take you to the candy shop. The "Disco Inferno" rapper, 40, appeared in court in Manhattan on Tuesday, July 22, to discuss his finances as he faces a $5 million...
kuna wimbo niliusikia leo Asubuhi kwenye Leo tena ya cloudsfm ..
umeimbwa na Nuruel na wasaani wengine mchanganyiko...jina siufahamu ila kiitikio ilikuwa...
🎵neeendaaaa ...mwambie...
Nimekuwa nikijiuliza nani mshauri wa mwanamuziki Lady Jaydee? hiki kipindi chake cha diary ya lady jaydee kina faida gani kwa masikini wa tanzania? hivi kutuonyesha anavyopaka lipstick midomo yake...
Hivi kweli unaweza linganisha Muziki Munene wa Tid na huyu m'bana pua Hemed Phd? Huyu labda Kwa sura yake ya kiarabu na kujipodoa ila kamwe hawezi kumfikia!
Acha ndoto za kumfunika king Khalled...
Habari wanajukwaa..
Hii filam aisee naipenda saana, na hua hianiishii hamu kuitazama muvee hii,
Miss Masombuka ananikumbusha kipindi nasoma history ya south africa pale UDSM mwaka wa pili
This...
Waungwana naomba anayekumbuka jina la movie hii anikumbushe niitafute. Niliwahi kuiona zamani na ningeipenda kuitafuta ili niipakue kwenye Internet. Baba mmoja baada ya kutalikiana na mkewe, mkewe...
ENTERTAINMENT Maneno ya Shilole na Nuhu Mziwanda baada ya kudaiwa kuachana..#UHearD (Audio) By Jesca TZA
onJuly 20, 2015 112SHARES COMMENTS
Bado kuna hali ya sintofahamu miongoni mwa uhusiano...
Baada ya wote wawili kuibuka washindi kwenye tuzo za MTV MAMA 2015 zilizotolewa Jumamosi iliyopita Durban, Afrika Kusini, Davido na Diamond wameweka wazi ujio wa collabo yao mpya.
Wakiwa na...
Niliwamis sana kupitia ITV ila niliposikia mnarusha kupitia clouds nilishaamua sitaangalia tena vipindi vyenu!Ukweli ni kwamba siwapendi kabisa hawa jamaa wa clouds kwani wamefanikiwa sana...
Hawa watu bado sana halafu nimejua leo kuwa wananjaa.
Iweje msanii mwenye jina kama Young D, Young Killer, Barnaba, Shetta, Mkatoliki, unatumbuiza local club/bar siku ya skukuu??? Hata mialiko ya...