Msaada:Anayefahamu jina la wimbo huu na mwimbaji.

Msaada:Anayefahamu jina la wimbo huu na mwimbaji.

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,278
Ni wimbo mtamu ulioimbwa katika mahadhi ya wimbo wa utamaduni.Mwimbaji
ni mwanamke na anachanganya kiswahili na kipare.Maneno ya kiswahili niliyoyakamata ni:
..........majirani mwagombaaana. Ya kipare ni: shigha........hunduka dada weeeee.....
Huu wimbo nikiusikia napata kichaa kwa jinsi ulivyoimbwa kwa ufundi, maringo na madaha.
Namwomba yeyote anayeufahamu anipe jina la wimbo na mwimbaji ili niupakue mtandaoni.
Asante.
 
Back
Top Bottom