Wizkid kuja Tanzania

Wizkid kuja Tanzania

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,294
Reaction score
5,293
Msanii Wizkid amethibitisha kuja Tanzania kama alivyoahidi ikiwa n moja kati ya nchi atakazotembelea around the Africa. Get ready for good music kuanzia Holla to you're boy, tease me, dance for you, Caro, show the money, in my bed, kind of love hadi Ojuelegba.
 
Msanii wiz kid amethibitisha kuja Tanzania km alivyo haidi ikiwa n moja kati ya nchi atakazo tembelea around the Africa get ready for good music kuanzia holla to you're boy, tease me, dance for you, Caro, show the money, in my bed, kind of love hadi ojuelegba

Naye hajalilia 'collabolation' na baba tifah?
 
mmmh sio kwa wizzy dadaangu, anajiamini balaa huyo jamaa, na hizo KiKi wanazompa wamarekani

Wiz kid kamfollow diamond insta vp yule msanii wenu anaechezaga nyimbo za wiz kid wakati hamjui kuna mtu km huyo
 
mmmh sio kwa wizzy dadaangu, anajiamini balaa huyo jamaa, na hizo KiKi wanazompa wamarekani

Upo sawa mkuu jamaa anajiamini sana hadi maproducer wakubwa marekani kama akina "SWIZZ BEATZ" wanamkubali wenyewe jionee hapo...
 

Attachments

  • IMG_20150806_103020.jpg
    IMG_20150806_103020.jpg
    29.3 KB · Views: 747
Upo sawa mkuu jamaa anajiamini sana hadi maproducer wakubwa marekani kama akina "SWIZZ BEATZ" wanamkubali wenyewe jionee hapo...

ukiachana na hiyo niliona caption moja ya show aliyoifanya ivory coast akaandika kuhusu ojuelegba,'best song in africa, period!'
 
Naona mada imetoka kwa wiz kid kufanya ziara bongo hadi kwa the Icon of the nation ngoja twende hivo hivo, kwa sasa Baba Tiffah ndo msanii no 1 kwa TZ kama tamu meza kama chungu tema ujashikiwa bunduki. keshafanya collabo na p.squre bado hajaitoa tu itakuwa huyo.
 
Yap thats it
 

Attachments

  • 1439037157280.jpg
    1439037157280.jpg
    60.9 KB · Views: 634
Alisema toka mwaka Jana atakuja Leo ndo ameconfirm tour itakuwepo
mjeuri wa africa anakuja tz nasikia jamaa alikataa kupiga pic na daimond kwenye mtv awards jeuri sana yule dogo
 
Wiz kid kamfollow diamond insta vp yule msanii wenu anaechezaga nyimbo za wiz kid wakati hamjui kuna mtu km huyo
wizkid na kiba ni marafiki na wanajuana shahidi mejialabu director wa cheketua na crazy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom