superstar1
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 222
- 176
Habari za asubuhi jamani. Mimi naomba kujua bei za kumbi za harusi za Tabata, Sinza, Mabibo, Manzese, Buguruni. Sinza ningependa kujua being za kumbi hizi: Kuala Lumpur, Mwika, Deluxe, Mirado, Vatican city, na Lulu. Natanguliza shukrani za dhati.