Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Tupe maneno mawili matatu kuhusiana na movie hii.
5 Reactions
12 Replies
863 Views
Kuna channel mpya imeanza na tayari iko digital, inaitwa Sibuka TV. Kuna anayejua ni ya nani, au ndio ule utabiri ulioletwa humu kuwa mmoja wa mafisadi papa naye anaingia ulingoni kwenye media?
0 Reactions
20 Replies
15K Views
Kuna maeneo Kilimanjaro kuna Live Band nzuri. Kwa wasiopenda kukaa na Stress nendeni kufurahia maisha. Wewe unapenda kwenda maeneo yapi kuenjoy?
8 Reactions
24 Replies
1K Views
SURA YA KWANZA: Ray Shaba alikuwa kwenye kikao ambacho mjumbe wake alikuwa ni yeye peke yake. Mikono yake ikiendelea kurusha ngumi kwenye begi la mchanga lililokuwa linaning’inia kwenye...
13 Reactions
155 Replies
40K Views
ZUWENA (Chaguo la wazazi) SEHEMU YA: 01 MTUNZI: KHADIJA MWALAMI WHATSAPP: 0676604830 KAWAIDA: 0783642467 ANZA NAYO........ SIMULIZI HII NI SH.1000 tu NICHEKI WHATSAPP KAMA UTAITAJI...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Siku zote changamoto ndio zinatufanya nini tuamue kwenye maisha yetu, kwenye maamuzi hayo tunatakiwa tuwe na umakini wa kutoathiri hisia za wengine. Binadamu tunakosea mno kuishi kwa kukariri...
3 Reactions
78 Replies
3K Views
SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA HAIUSIANI NA MTU YOYOTE WALA KIKUNDI CHOCHOTE , MAENEO , OFISI NA MAJINA YALIONDANI YA HII SIMULIZI NI YA KUBUNI ENJOY SURA YA 01 Ilikuwa ni siku iliokuwa...
3 Reactions
77 Replies
26K Views
Achana na trailer, synopsis ama kitu chochote. Tafuta means ya kustream hii kitu ama kudownload kupitia torrents. Utakuja kukubali.
0 Reactions
2 Replies
387 Views
Bwana! Bwana! One time nilipokua in my early 20’s nilipitia changamoto moja hivi ya kikubwa, nilikua nimepanga chumba kimoja maeneo flan ivi Arusha mtaa mmoja ivi nyumba zimepangiliwa vizuri na...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
TENJEE na ZINGOTA (Sehemu ya 1) MSITUNI KWA ZINGOTA** Jengo la lililochakaa katikati ya msitu wa kale uliokauka. Kulikuwa na wanawake wawili katika jengo hilo, mmoja ni binti mdogo na...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari, maelekezo hapo juu yanajieleza vyema. Wawezaipata app store.
0 Reactions
2 Replies
400 Views
I died to save my president Mtunzi Patrick Ck Simu 0764294499 Season 1 Sehemu 1 Shughuli zote zilizopangwa kufanyika katika kikao cha bunge zilikamilika na kabla ya kusitisha shughuli za...
16 Reactions
1K Replies
256K Views
😶‍🌫️ - hii inapiga chabo kwa dirisha 😩 - Iko kwenye sexy vile inaona raha 🏃 - imetoka fumaniwa na mke/mume wa mtu 😂 - inachekea salio jipya kwa m-pesa 😭 - inalia vile inamdanganya mtu kwenye...
1 Reactions
0 Replies
581 Views
Spider man: Homecoming >>>> Baada ya matukio ya kwenye Captain America: Civil War, Peter Parker anajaribu kubalance maisha yake ya shule kama mtu wa kawaida na maisha yake ya kupambana na viumbe...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika Maisha, kila mmoja anakuwa na ndoto kubwa yenye kumpa furaha Maishani mwake,hata wewe una ndoto ambayo siku moja ikitimia utakuwa ni mwenye kufurahi sana.Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa Robson...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
Unaweza kusoma na kusikiliza kitabu hiki bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Ipo playstore Na James Mbotela. MUHTASARI WA MAISHA YA MWANDISHI Mwandishi wa kitabu hiki, ni mzaliwa wa Frere Town...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi ni mpenzi sana wa movie za wazungu napenda sana kuangalia.. Toka utoto wangu nilikua nikishika remote lazima nipitie chaneel za kizungu kuangalia kama kutakua na movie nzuri niangalia...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Niajee wakuu! . Ningependa kujua tu kua, Nini kinaendelea kati ya diamond na baadhi ya media? Maana kuna baadhi ya media vinaonekana kama kumchunia.. Kama vile clouds,millard ayo..etc Toa maoni yako
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Nilikua na mpenzi nani asiyemjua mtoto kaumbika utadhani malaika Baada ya miezi kadhaa kupita mtoto wa kwanza kazaa! Mtoto katoka mwarabu akasema kafanana na babu Nikaamua kuuchuna Mtoto wa pili...
4 Reactions
8 Replies
823 Views
In honor of Ariana Grande debuting ten years ago today, what is your favorite song and album?
0 Reactions
3 Replies
762 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…