Ni wimbo ule ambao umetolewa kuanzia mwezi wa 10 au 11 na unajua kabisa huu lazima utakuwa tishio huko kwenye starehe au madisco na utakuwa unapigwa Sanaaa tu kwenye sikukuu,
Mimi wangu ni huu👇
Wapendwa kimtazamo ni movie gani ambayo ilikuvutia sana au ilikukugusa kwa namna moja hadi nyingine
Mfano. Kuna bongo movie moja inaitwa vivia ukiangalia unaweza kulia
Pia kuna
Captain Philips...
Kwa wale wapenzi Wa movies zenye love story nzuri na za kusisimua tukutane hapa comment movie moja yenye kusisimua na kuvutia.
Mimi kuna movie flani inaitwa forever my girl imenivutia sana story...
Great Thinkers
Hawa jamaa kwenye Kuimba wana dunia yao aisee na havana mpizani hapa Tanzania.
1. Msukuma humwambii chochote kuhusu nyimbo zao za asili, tembelea uskumani kama utakuta singeli...
Kama unapenda kisasi basi hii itakufaa imetoka mwaka huu ni Kali sana mtu wangu
Hii nayo imetoka mwaka huu siku ya wapendao inaenda kuharibika je unataka kujua Nini kilitokea icheki mtu wangu...
Jamaa alionekana kwenye series ya Game Of Thrones akitambulika mule kama Ramsey Bolton na katika tafiti kutoka kwa watazamaji jamaa anachukuliwa kama muigizaji mwenye roho ya kikatili sana,na hili...
1. The Blacklist
2. Missing
3. Battle Creek
4. 24
5. Numb3rs
6. Bones
7. Quantico
8. The F.B.I
9. FBI:International
10. Profiler
11. Haven
12. City on a Hill
13. Unsub
14. Will Trent
15. Wiseguy...
HII NDO ARDHI AMBAYO HAIJAWAI KUGUSWA NA MWANGA WA JUA (NURU) TANGU KUUMBWA KWA DUNIA.
Dunia ina maajabu mengi sana . Sasa hili la leo ni la mwaka 1960 maisha ya giza
UZI👇🏼
Katika historia ya...
Habari za muda huu kwa wanajamiiForums, ninasikiliza wimbo wa Cosmas Chidumule unaofahamika kwa jina la "Libarikiwe Neno Hili"
Muimbaji Cosmas Chidumule...
These are the possibility of actors to be casted (don't take it seriously 😃)
Tom Cruise
John Depp
Samuel Jackson
Morgan Freeman
The Rock
Arnold Schwarzenegger
Rambo
The Taker...
Anaitwa Guy Ritchie amezaliwa Uingereza septemba 10 1968 kazi yake ni mwandishi na muongozaji wa filam ameandaa muvi nyingi kali kama Operation Fortune, The Gentleman ilishinda tuzo ya muvi bora...
Series inaitwa Game Of Thrones mpk sasa inashika nafasi ya kwanza Duniani kuwa series iliyoangaliwa sana na watu na kuweka kupewa rate ya juu.Rate 9.2⭐ ikiwa na misimu 8 ndani yake.
Stori...
▪️ Genre: Action, Drama, Thriller
▪️ Date: 15 Jan 2016
▪️ Rate: 7.3/10 IMDb
▪️ Time: 2h 24m
▪️ Director: Michael Bay
▪️ Main characters:
John Krasinski kama Jack Silva
James Badge Dale kama...
Kwanza kabisa napenda kumshukuru mungu kutupa uwahi hadi siku ya leo. Ivo basi ningependa kushare idea zangu za mchezo unaoitwa ROULLETE.
ROULLETE/WHEEL OF FORTUNE ni mchezo unaopatikana katika...
My list
- Snowfall - Alton alikuwa teja lakini familia yake ikamkubali upya, matokeo yake akaanza kusnitch, huyu mzee hana shukrani na kasababisha anguko kubwa sana la Franklin
- Prison Break...
UTATU WA G RECORDS
DJ Gulu Ramadhan Nnanji " G LOVER" alifungua studio yake, G RECORDS na kumpatia mikoba yote ya production, Roy Bukuku.
Kazi nyingi zilipikwa pale huku utambulisho wa kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.