JAMANI EEEH. NYIMBO GANI YA ZAMANI YA HIP HOP BONGO FLEVA HADI LEO HAUJASAHAU MISTARI YAKE?
MIMI KUNA HII HAPA CHINI YA JCB INAITWA SINA TAXI REMIX. HEBU TILILIKA NAYO HUKU UKITUPA NA WEWE LYRICS...
Nadhani kuanzia saa tatu usiku hadi saa nane usiku(nafikiria), katika channel ya clouds TV, crown na sinema zetu umekuwa na kipindi cha stand up comedy kinachoitwa Churchill show. Kipindi kina...
RIWAYA: MPANGO WA KONGO
NA, BAHATI MWAMBA
SIMU: 0758573660.
1
MAUAJI
Ilikuwa ni ndani ya majengo ya ubalozi wa Tanzania yalioko pembeni kidogo mwa mji wa mji mkuu wa Congo DRC katikakati...
Awali ya yote kwa yeyote aliyekuja pupa ili kunijibu nina maneno mawili tu, "Punguza spidi", rejea kichwa cha uzi kisome vizuri kisha urejee tena.
Nakiri kwamba sikuwahi kuangalia filamu ya John...
Kumekuwa msikilizaji mzuri wa ufm kwa baadhi ya vipindi vyake. Niliamua kupunguza vipindi vya kusikiliza baada ya kugundua kuwa wana uchawa mwingi sana.
Niliendelea kusikiliza vipindi vya mziki wa...
Wakuu,
Naomba tu support kazi ya binti yetu ametoa single inaitwa “Harusi Nyeusi”.
Please share and repost
Tik tok https://vt.tiktok.com/ZS6hUK76M/
Instagram...
Bila shaka utakubaliana nami kwamba, kwa kipindi Cha hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la comedians Tanzania ukilinganisha na miaka ya nyuma kidogo, zamani comedian wengi walikuwa agego...
Mzuka wanajamvi
Nipo hapa naandaa script ya movie bonge la movie ambayo itateka gumzo la kila mtu nchini. Jina la movie Muuza madafu encounter freedom.
Ni hivi. Inaanza magaidi kutoka msumbiji...
Hizi ndio nyimbo 15 nilizozikubali zaidi mwaka huu
15. AYRA STARR COMMAS
Country: Nigeria🇳🇬
https://youtu.be/EhyzYPSHRQU?si=cbdRnjb8o5DmTy8z
..
..
14. DIAMOND PLATNUMZ- HOLIDAY...
Burudani Mbeya imekuja na TUZO za burudani Mbeya kwenye nyanja ya MUZIKI, FILAMU, COMEDY, MODEL, VIXEN, MPIRA na HABARI kupitia platform zake za blog, YouTube channel na Instagram. Kwa maelekezo...
MAISHA YA WASANII NJE YA SANAA
Unaweza kusema sanaa bila ubunifu ni sawa sifuri, maisha ya usanii yanahitaji bunifu zenye athari chanya kwa jamii kwa lengo la kuendelea kukuza majina na kazi zao...
Verse 1
Ni safari ndefu,
Ya mwanadamu,
Kimaisha na mapenzi,
Ni mke au Mume,
Mara moja kubahatika.
Maishani mwako,
Kumpata mtu fulani,
Ambaye huwa ni Maalum kwako,
Kipenzi cha moyo wako.
Kwa...
Weekend
[Intro]
Weekend
Na East Zoo y'all
Chemba Squad y'all
Bongo Records, yo
C'mon
[Chorus]
Kama weekend
Ndio tayari ishafika
Watu viwanjani wanamiminika
Tufurahi kwa pamoja wakati huu
Na kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.