Naomba ukiupata uweke hapa tubarikuwe woteWimbo huu umeimbwa na Adonai Pentecostal Singers-Zambia kwa lugha ya kizambia ukienda kwa jina la Kafwa wandia.
Nahitaji ambao umetafsiriwa kiswahili, kwa mwenye nao tafadhali.
Wimbo wa marehemu sedekiaWapendwa kuna wimbo sijui walioimba ila unamaneno ya. Nahman alikuwa jemedari wa vita wa. Jeshi l mfalme wa shamu lakini alikuwa na ukoma, nahman nenda ukajichovye mto yordan nawe utapon.
Naomba mwenye hii album
Tunasubiri nyimbo hizoOkay. Nitawaletea. Nilikuwa nazo nimefuta sijui hata sizioni sasa. Ila nitaleta. Nivumilieni kidogo
Okay. Nitawaletea. Nilikuwa nazo nimefuta sijui hata sizioni sasa. Ila nitaleta. Nivumilieni kidogo
Wimbo huu umeimbwa na Adonai Pentecostal Singers-Zambia kwa lugha ya kizambia ukienda kwa jina la Kafwa wandia.
Nahitaji ambao umetafsiriwa kiswahili, kwa mwenye nao tafadhali.
Hapana siyo sedekia hii albam ilikuwa na wimbo wa yonaWimbo wa marehemu sedekia