Mlalahoi Mlalahai
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 399
- 146
Kwenu wadau, nataka kujua kati ya msanii wa muziki, muigizaji wa movie na mcheza mpira nani anayepata maslahi mazuri, tupime kwa wiki au mwezi
Duniani na Tz mkuuhujafafanua hzo kazi unazungumzia duniani au Tanzania
Dangote, Mengi, Dewji, Rostam, Bahresa are politicians eeh?!Europe= Footballers
America=Musician & Moviestar
Africa =Politician
Dangote, Mengi, Dewji, Rostam, Bahresa are politicians eeh?!
hahahaa!Meen tunaongelea utajiri kupitia vipaji...
Kama ulikua hujui African politician ni kipaji chukua hiyo!!