Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Hua nafikiria sana ni kivipi shirika la utangazaji la Kenya lilibuni hii program inayoitwa Vioja Mahakamani. Sio siri hua navunjika mbavu na kupata burudani kuangalia vituko vya hawa waigizaji...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
sina uhakika kama kitabu hichi kimeandikwa na mario puzo ila ni muendelezo wa kitabu cha the godfather. please mwenye nacho au anae weza kuki download akieke hapa.
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Wana jamvi, nimewasalimu, Mimi ni mpenzi wa muziki sana katika library yangu napungukiwa nakala za Maquiz, Sambulumaa( kadiri mke wangu) vijana Jazz.nk. Kwa wale mnaonisoma, kama kuna baadhi...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Kwa Tz tukubali Arusha wapo juu. Hapa ni madogo wakifanya yao.
1 Reactions
16 Replies
7K Views
kwa wale wapenzi wa hizi ladha jamani mimi nipo. Some of my favourates: -buy me a rose. Kenny rogers -if i said you have a beautiful body. Bellamy brothers -i have been love by the best...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari wakuu..hebu turelax kidogo na haka kajumapili mwanana. Ni hivi, Bila shaka ukiongelea HIPHOP kwa bongo na ukataja watu watatu the best huwez kukosa kumtaja JUMA MCHOPANGA na FAREED...
0 Reactions
52 Replies
31K Views
jamani naomba mwenye kujua link nzuri ambayo ntaweza download tv shows zinazoonesha series za kiphilipino
0 Reactions
1 Replies
717 Views
Haya tena Le Grand Mopao Papa Fololo ametiririka tena SELFIE REMIX.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Wallahi mademu wa kibongo ukiwa na kiasi cha mboga hata hawakatai...MABAGA FRESH (MTULIZE) 2.. . . . . .
1 Reactions
3 Replies
5K Views
New Music: Diamond Platnumz –
0 Reactions
0 Replies
2K Views
download mp3
0 Reactions
47 Replies
12K Views
Msanii chipukizi Rommy B ameachia cover ya wimbo wake mpya utakaoruhusiwa wiki mbili zijazo #WhoYouAre #WhoYouAre #WhoYouAre #WhoYouAre KAA TAYARIIIII anapatikana kwa #RommyB_tz
0 Reactions
0 Replies
732 Views
  • Redirect
Habarini humu.... Jamani huyu Diamond sasa ana sifa,tena hizi sifaa zimepitiliza! Kuna nyimbo ake hapa naisikiliza inaitwa HELLOW jamaniiii nyimbo nzuri ,inachezekaa kila kitu poa Ni kama...
2 Reactions
Replies
Views
Mdada wa Kikenya Akothee yuko njiani kuachia video yake na Diamond inayoenda kwa jina la sweet love. Hii hapa teaser ya video.
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Wakuu habari za mapinduzi??? nimekuwa nikipita huku na huko nikaangukia episode 2 za hii series nimevutiwa sana kama kuna mtu anayo hii Series aniambie nimtafute I like it.
0 Reactions
0 Replies
535 Views
Lyrics are by best effort, corrections are welcome. Chorus Uh yeah yeah yeah Awwww, awwww It's the boom bye (bye), the old and the new style Ndani ya pande zako no flying hi (hi) Bwa mdogo...
2 Reactions
15 Replies
14K Views
Habari Nataka kwenda muona Christian bella ,mwenye jua ratiba ya leo Boxing day. naomba anijuze
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana Jf hope mko poa mi ni kijana mwenye ndoto za kuja kuwa dj nipo dar es salaam sina uwezo wa kwenda chuo ila nina imani kuna academy mbali mbali wanafundisha u dj lakini sijui...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Mimi ni Professional African painting artist, kuanzia Leo nitakua naleta Mfululizo wa Makala mbalimbali kuhusu fani hii ya Uchoraji, kuwafanya Watanzania waijue vyema Sanaa hii, ikibidi kuipa...
3 Reactions
18 Replies
5K Views
Flavour&Juliana-ololufe/haturudi nyuma ....mash up waliofanya coke studio. Nauoenda Sana maana wameimba kihisia Sana. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
59 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…