PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,135
Msanii mkali wa kutupia pamba Afrika mashariki Juma Jux jana aliachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la wivu,ngoma iko poa sana na video yake pia ni nzuri huyu jamaa uwa namkubari sana anafanya mziki mzuri huwa hatafuti kiki kwa wanawake kama yule anaye jiita simba ili ngoma Yale ipendwe, video yake hiyo hapo ichek