Koffi Olomide afungwa jela miezi 18

Koffi Olomide afungwa jela miezi 18

Si alikataa kushambuliwa huyo binti?
Na mbona hukumu imekuwa fasta hivyo
 
Si alikataa kushambuliwa huyo binti?
Na mbona hukumu imekuwa fasta hivyo

Kwenye kukataa sidhani,ila amenukuliwa na vyombo kadhaa vya habari akiwaomba radhi mashabiki na zaidi akina mama na watoto..amesema kitendo kilichotokea kilitokea kutoka na hasira za ghafla na kushindwa kujizuia..
Source: mwananchi online.
 
Kongulu.jpg

Marehemu mtoto wa Mobutu aliyeitwa Kongulu alikua rafiki mkubwa wa Koffi, wakati huo Koffi alitamba sana Zaire. Kongulu ndiye alikuwa mfadhili wa Wenge Musika na pia na Werrason. Ndiye aliyewapatanisha Koffi na Josari Nyoka Longo kwenye ugomvi wao. Longo ndiye aliyekua kingozi wa Zaiko Langa Langa. Atazikumbuka enzi hizo.
 
Itakuwa serikali ya Congo ilikuwa na bifu nae.
Walikuwa wanamvizia afanye kosa.
 
Hawakumpa hata nafasi ya kutafuta lawyer, kesi ya juzi leo hukumu imetoka. Kama ingekua hivi kwa watu wote angalau tungekua na muda wa kusafisha mahabusu.
 
l

Sasa akitoka alinganishe gereza na sebule ya mtoto wake
Halafu kule jela asipoangalia kuna mijamaa ina kiu ya nanilii, maana utakuta ina miaka haijapunguza uzito. Anaweza kufanywa mchumba wa mtu. Watu hawana dini bwn
 
Ni kwasababu anauhasama na rais lakini angepewa special treatment jela. Ninamuonea huruma inaelekea Kabila ana usongo nae sana.
 
Back
Top Bottom