Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,031
Sjui nini imooooo yani nakereka sana na huu upuuzi kidogo tu unasikia vinaitikia imoooooo nink sasa imooo?
Dah yaani huku kwetu marundwe kila kijana nae kashaanza imooooo.
Kuweni makini na hii misemo ya hawa watu "raphael wa Ureno"
Imoooooooooo
Dah yaani huku kwetu marundwe kila kijana nae kashaanza imooooo.
Kuweni makini na hii misemo ya hawa watu "raphael wa Ureno"
Imoooooooooo