Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Ni Alhamisi Magaidi watatu walijitoa mhanga kwa kujilipua mabomu matatu ya kujitengenezea wenyewe wakiwa ndani ya treni za chini ya ardhi katika Jiji la London huko Uingereza. Baadaye, gaidi wa...
3 Reactions
5 Replies
303 Views
Nikipata nafasi ya kufika Jiji la London kuna vitu lazma nivifanye kwa ukamilifu, mosi nitakwenda kutazama mechi za timu za Tottenham Hotspur pamoja na Arsenal, na baada ya hapo nitafanya...
0 Reactions
0 Replies
138 Views
Gere unanionea mie nakunifanya hasidi, kwakuwa unatambu kazi yangu jukwaani, hata hivyo nyuma, sitarejea, wajifanya wajua, jua linakuwakia. Naomba mwenye link ya huu wimbo ama anae mfahamu msanii...
1 Reactions
16 Replies
254 Views
Kenya, Uganda na Tanzania. Tumekopi sana na tunaendelea kopi, hatuwi sisi. It's high time that we have a tune , sound, beat, Melody, lyric of our own. Kwanini kukopy.. Embu sikieni wimbo...
2 Reactions
29 Replies
340 Views
Nimeanza tabia mbaya tangu nikiwa shule ya msingi, nimefanya na watu wengi sanaa tena sanaa. Lakini kwanini naandika kitabu hiki?? Ni kwa sababu ninataka ufahamu kitu; kuwa tangu nianze kuwa na...
1 Reactions
5 Replies
652 Views
Ndugu zangu tumsifu Yesu Kristo Ningependa kushiriki nanyi nyimbo hizi.
2 Reactions
4 Replies
331 Views
Nasikitika sana sijui wanakosea wapi, hawapo kama wenzao wa Clouds Radio! Sijui wanafeli wapi? Au ni bahati mbaya kwangu kila nikiingia kuiangalia nakuta vipindi visivyoeleweka. Kama usiku wa...
0 Reactions
6 Replies
396 Views
Kuna mskaji kanipa mizuka, kanikumbusha mbaaaali saaaana. Aisee embu turudi nyuma kidogo... Crazy gk - sauti ya manka J nature - mtoto idi Ay - yule Fa - unaowa lini, alikufa kwa ngoma, hawajui...
0 Reactions
1 Replies
180 Views
Bila shaka miaka ya mapema ya 2000 kuanzia 2000 mpaka 2006 ilikuwa ni kipindi cha mapinduzi makubwa katika muziki wa Afrika Mashariki. Ilikuwa ni zama za ubunifu wa hali juu, ushirikiano wa...
2 Reactions
6 Replies
266 Views
Huku kwenye Hip Hop kuna madini, japo si kutoka kwa hawa mumble rapper akina "Gucci Gang x90" 😂😂 Ukiachana na rap katuni na nyimbo matambo mbele ndani uchuro tushee Lyrics nzito na zenye ujumbe...
1 Reactions
3 Replies
311 Views
SURA YA 1 KWA mara nne mfululizo katika wiki ile, Luteni Maige alijiwa na ndoto ile ile usingizini. Aliamka kwa mshtuko, jasho likimtoka huku akihema kwa kasi. Safari hii, hata alipofumbua macho...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Episode 1: Safari ya Maisha (Safari of Life) Nilifika mjini nikiwa na ndoto kubwa mfukoni na shilingi chache mkononi. Nilikuwa nimekimbia maisha magumu kijijini, nikiamini mjini ndio mahali penye...
6 Reactions
4 Replies
546 Views
1. Darassa - Muziki 2. Dully sykes - Bongo fleva 3. Chid benz - Dar es salaam stand up
3 Reactions
147 Replies
2K Views
Nakumbuka siku nilifungua ofisi moja ya kurusha miziki ,nilienda kwa mama mmoja anitayalishie dawa ya kuleta wateja wengi waje niwachomee miziki na movie. Alinipa dawa nne mfano wa irizi ya kwanza...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
Krystyna Pyszkova kutoka Jamhuri ya Czech ameshinda taji la Miss World 2024 katika fainali ya mashindano hayo tarehe 9 Machi 2024 jijini Mumbai- India. Krystyna Pyszkova kutoka Jamhuri ya Czech...
0 Reactions
3 Replies
774 Views
AFANDE WA MOROGORO MFALME WA TANZANIA. Toka mwaka 2002 mpaka sasa 2022 ni miaka 20 imepita toka album ya "mkuki moyoni" toka kwa Afande Sele izame sokoni. Mwaka 2004 hii album kwa uzito wa...
1 Reactions
1 Replies
437 Views
Fortune tellers ( wapiga ramli) " Fortune tellers kilikuwa ni kikundi cha watoto wawili wakike na wakiume " ambao walikuwa wanashirikiana na kundi la X plastaz kufanya Muziki Enzi hizo kutokea...
1 Reactions
2 Replies
225 Views
NGWEA - ZAWADI ___________________ JEAH! MOJA KWA MOJA TOKA CHAMBER NGWEA NA EAST ZOO YOU DOJO KAYA FELOO VERSE 1 __________ UZURU WAKO WA TABIA UMBO NA SURA NDO ULIONIFANYA...
1 Reactions
2 Replies
164 Views
BLACK WA USWAZI . _____________________ Hatimaye leo tumefanikiwa kumpata mmoja Kati ya wachonga barabara kwenye Tasnia hii ya Muziki wa Bongo Fleva ambao juhudi zao ndio zimefanya Muziki Huu...
2 Reactions
2 Replies
236 Views
KWANZA UNIT CREW - MSAFIRI.. Ubeti1 Hii Ndo Picha Kabla Pazia la Udongo Ndani Futi sita/ Vita, Kila Watu 9 Kati ya 10 Dhidi ya Hali duni/ Naelekea Nchi ya Ughaibuni/ Nimezunguukwa na Dhoruba/...
7 Reactions
17 Replies
514 Views
Back
Top Bottom