East Africans it's the high time now that we have a recognition, musically, a sound, beat, why do we fail!?

blogger

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
10,451
12,602
Kenya, Uganda na Tanzania.
Tumekopi sana na tunaendelea kopi, hatuwi sisi.

It's high time that we have a tune , sound, beat, Melody, lyric of our own.

Kwanini kukopy..

Embu sikieni wimbo huu..listen to this gospel
From South Africa..
 
Huo wimbo ni wa dini... Na ni amapiano pure .
Tunashindwa wapi kuwa na sound yetu... Basi tuungane na KE na UG..
 
Kenya, Uganda na Tanzania.
Tumekopi sana na tunaendelea kopi, hatuwi sisi.

It's high time that we have a tune , sound, beat, Melody, lyric of our own.

Kwanini kukopy..

Embu sikieni wimbo huu..listen to this gospel
View attachment 2933751 From South Africa..
Eti ni wasanii ambao hawawezi kutengeneza kazi zao.

Sijui ni usanii gani
 
Lakini kuna crue ilishakula hela...tena nyingi tu kutengeneza sound yetu...
kama ilivuokua kwa vadhi la taifa.. wakajenga na mijumba..

I think Mpoto knows better..
 
Ifike mahala waTz tuambieni ukweli..

Huu upuuzi wa amapiano ulianzia kwenye ngoma moja iliyojukana kwa jina la ' mama aminaAa'..
Ilibang sana club.sijui ni marioo nafkiri. Since then tukahamia huko .
Wote..wote..wotee .

Nitajieni aliyebaki
 
Back
Top Bottom