Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Aisee hii video imechefua sana baadhi ya watu lakini ndiyo hivyo, bonge la ngoma balaaa. Kasema mauji ya mtu mweusi siyo HOMICIDE bali ni GENOCIDE; vita dhidi ya madawa ya kulevya ni vita dhidi ya...
2 Reactions
2 Replies
917 Views
[Verse 1] Nataka nitoke kwenye Jamii Forum Niuze sura! Niseme ninatoka na Nifah… Kitandani kwisha na FaizaFoxy Ama Jimena Nilete matata mpaka kwa Heaven sent Kwenye redio zote, mpaka runinga...
9 Reactions
49 Replies
4K Views
Kura yangu imehamia kwa mzaramu, wewe je?
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Kila nikiangalia hivi vipindi vya huyu mwanadada huwa nakereka na sauti tuipatayo sisi watazamaji...Yaani sauti ina mwangwi utadhani hicho kipindi anarekodia kwenye hall la kanisa kule ROME,Italy...
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Msanii wa bongo fleva GK wa East coast team amekuja na ngoma yake hii inaitwa Mzuri Pesa. Itazame hapa kisha sema chochote
0 Reactions
0 Replies
2K Views
VideoMPYA: King Crazy GK bado yupo.... kaileta hii inaitwa 'mzuri pesa': VideoMPYA: King Crazy GK bado yupo.... kaileta hii inaitwa 'mzuri pesa' - millardayo.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau Hebu nisaidien majukumu ya huyo mtu maana kwenye official administration systeam sijawahi ona iyo nafasi. Na jamaa kwa nafasi iyo majukumu yake ni yapi? Kwanini wasingesema mkurugenzi wa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Got a good sense of humor?..good to meet you fam. Here we share all the best sitcoms we ever came across, regardless of the time. Without further ado, here are mines(in no specific order).. The...
1 Reactions
2 Replies
761 Views
Vile vi binti kwenye wimbo wa Inde wa Dully na Harmonizer ni vi dancer vya nani?? Natamani kuviona live kwenye stage.!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, Azam TV wana kipindi kiitwacho 'Midundo ya Kale' na wanatumia band iitwayo Utalii band katika ukumbi wa Club Infinity. Tokea nikutane na kipindi hiki siku ya Jumamosi na marejeo Jumapili...
2 Reactions
12 Replies
5K Views
Ben Pol Barnaba Boy Their latest songs: Joh Venture (Official Site): Ben Pol - MOYO MASHINE | Mp3 Download [New Song] JOH MUSICTZ: Download | Barnaba - Lover Boy | New [Song Mp3] Kama...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
BEN SWAX ft KALA JEREMIAH KESHA (Official video):
0 Reactions
1 Replies
1K Views
You are the one and only mami And I’m the one man army We sio mnyama ila unyamani maninja wanakuita mwami We ni soldier, I told ya, na sio uongo Nakumbuka zile hustle za Mbeya mpaka Nyamongo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dunia leo inaadhimisha miaka 19 toka gwiji wa HipHop Tupac Shakur alipopigwa risasi na Kufariki Dunia September 13 mwaka 1996. Mengi yamezungumzwa kuhusiana na kifo chake, na kuna wengine...
7 Reactions
146 Replies
21K Views
Chombo cha habari maarufu barani Africa na kinachodhamini tuzo za MTV mama African music awards kimepost taarifa za wasanii watakao perform siku ya event 22/10/2016 akiwemo,Alikiba kutoka Africa...
1 Reactions
2 Replies
709 Views
Mwenye Jibu.. Mwaka huu hakuna Kilimanjaro Music Award?
0 Reactions
1 Replies
541 Views
Published on 6 Sep 2016 LIVE PERFOMANCE AT THE SALZBURG ARENA (The Salzburgarena), AUSTRIA TANZANIAN BAND PLAYING ORIGINAL MUSIC FROM THE TRIBES OF TANZANIA FUSSION. InafrikaBand artists are...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
hahaaa hivi kuna mtu anakijua hiki kipindi? sijui nani alikibuni kinachekesha mno sometimes Dah
1 Reactions
23 Replies
3K Views
jje's Sifa kibao nishasema, yote sababu nimezama Uzuri wako ndo unazidi nipa homa Haki ya nani mi nitakatia bima Mi sisikii napata raha Nitasubiri more honey Na sioni, baby karaha Long time...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…