sijakuelewa mkuuHao wamezinguliwa na madem wa kibongo siku hizi mpaka wanajifunza Kiswahili.
sijakuelewa mkuu
Wanaija wanazinguliwa na madem wa kibongo mpaka wanajifunza Kiswahili, msikilize M.I kuanzia 1:50
Kweli, verse ya 1 ndo naielwa sana.Huyo muimbaji amechanganya ki yoruba na kiingereza.uki google huo wimbo umetafsiriwa