Original Comedy wamesambaratika?

Original Comedy wamesambaratika?

Hakuna jambo lisilo na mwisho! Hata ile isidingo ya pale ITV itafika ukomo wake
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hata hivo wanejitahidi sana, mie wamenichekesha tangu utotoni hadi leo nimezeeka.... Inatosha asee
 
Mtu akiuliza swali ajibiwe, siyo kuleta figisufigisu. Kama huna jibu sema hujui au kaa kimya ndiyo uungwana huo. Kwa kuanza mimi nasema sijui chochote kuhusu hao original comedy.
 
Kuna mmoja mchungaji asiye na kondoo, aliingia akawamjanja kupita wote akatumia group kijitangaza na kupata koneksheni na kuchangisha michango mbalimbali ya wagonjwa , Mara kalima vitunguu , Mara nyumba za wasanii Leo wametoka hata wakiacha uigizaji Wako poa .Seki ashukuriwe same to JK
 
Sasa kama umechekeshwa na ok toka mtoto...utakuwa na miaka mingapi mama angu
 
Back
Top Bottom